Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Kaskazini kura ni za LISSU tu Polepole na Bashiru wamemuzaa mutukufu ili kujastifai malipo yao....Ndio hao hao bwashee!
Ni kama vile wamachame, wamarangu, warombo wote ni wachaga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaskazini kura ni za LISSU tu Polepole na Bashiru wamemuzaa mutukufu ili kujastifai malipo yao....Ndio hao hao bwashee!
Ni kama vile wamachame, wamarangu, warombo wote ni wachaga!
Ni utaahira mkubwa sana kuishabikia CCMDogo ana akili sana...! Wote wenye akili lazima wajichomoe CDM
Labda akawe katibu wa shina lolote la CCM.CCM vyeo ni vingi!
'CCM vijana wengi huko mmefungwa minyororo ya dhahabu lakini haiondoi thamani ya utumwa wenu.Dogo ana akili sana...! Wote wenye akili lazima wajichomoe CDM
Mordern slave too pathetic ipo siku utatoka utumwaniCCM hakuna njaa Nassari na Mashinji shavu dodo!
Acha uongo Wewe! Nasari ni Mmeru, hajui Kimasai na hakuna Laigwanani yeyote Meru, kuna Washili!Mbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM.
Nassari ambaye alikuwa akiongea kimasai amewaomba radhi wanaccm na wana Arusha wote kwa machukizo aliyowasababishia akiwa CHADEMA.
Nassari amewataka malaigwanan na wamasai wote na wananchi kwa ujumla kumpigia kura Dkt. Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
====
Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nassari ameomba kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa kuwa upinzani
Nassari alihamia CCM akitokea CHADEMA mwezi Julai 2020, miezi kadhaa baada ya kuvuliwa ubunge kutokana na kutohudhuria vikao vitatu vya bunge
Nassari amesema mambo mengi waliyokuwa wakiyasema alipokuwa upinzani yametekelezwa na Dkt. Magufuli katika muhula wa kwanza wa uongozi wake.
Kabisa bila ya shaka hilo tunalifahamu vyeo kwa wahamiaji vimejaa kibaoCCM vyeo ni vingi!
Dogo angekuwa cdm ubunge ungekuwa halali yake tena lakini akanunulika sasa anajuta kuliona game changer lissu anavyowakimbiza mpaka hilo jiwe lao
Hata akirudi asitegemee teuz coz boss wake hana cha kupoteza sababu haitaji Tena kura zetu, atamalizia kipindi cha pili kuwalipa visasi watz,kwa kumnangaAnabembeleza mapema akumbukwe ktk ufalme ujao,alivyokuwa hana akili anaamini hakuna siku Magufuli atashindwa.
Hizo zote njaa tu!!!
Umejuaje kuwa hajui kimasai bwashee?Acha uongo Wewe! Nasari ni Mmeru, hajui Kimasai na hakuna Laigwanani yeyote Meru, kuna Washili!
Cheap politicianMbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM.
Nassari ambaye alikuwa akiongea kimasai amewaomba radhi wanaccm na wana Arusha wote kwa machukizo aliyowasababishia akiwa CHADEMA.
Nassari amewataka malaigwanan na wamasai wote na wananchi kwa ujumla kumpigia kura Dkt. Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
====
Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nassari ameomba kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa kuwa upinzani
Nassari alihamia CCM akitokea CHADEMA mwezi Julai 2020, miezi kadhaa baada ya kuvuliwa ubunge kutokana na kutohudhuria vikao vitatu vya bunge
Nassari amesema mambo mengi waliyokuwa wakiyasema alipokuwa upinzani yametekelezwa na Dkt. Magufuli katika muhula wa kwanza wa uongozi wake.
Nasari Ni jembe💥💥✅....Mbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM.