CHIBURABANU
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 2,921
- 3,474
Chadema ni bonge LA chama,hata hawahangaiki na hao Masuria uliowataja hapo juu walishasahaulika.chadema INA hazina ya viongozi.CCM hakuna njaa Nassari na Mashinji shavu dodo!
We nae ni mburula kweli,unafurahisha moyo kipumbavuDogo angekuwa cdm ubunge ungekuwa halali yake tena lakini akanunulika sasa anajuta kuliona game changer lissu anavyowakimbiza mpaka hilo jiwe lao
Asubiri hizo teuzi za kurubuni upinzani hana lolote Nasari.Mbunge mstaafu wa Chadema Dkt. Joshua Nassari ameomba radhi rasmi kwa Rais Magufuli kufuatia mambo maovu aliyomfanyia kabla hajahamia CCM.
Nassari ambaye alikuwa akiongea kimasai amewaomba radhi wanaccm na wana Arusha wote kwa machukizo aliyowasababishia akiwa CHADEMA.
Nassari amewataka malaigwanan na wamasai wote na wananchi kwa ujumla kumpigia kura Dkt. Magufuli.
Maendeleo hayana vyama!
====
Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nassari ameomba kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa kuwa upinzani
Nassari alihamia CCM akitokea CHADEMA mwezi Julai 2020, miezi kadhaa baada ya kuvuliwa ubunge kutokana na kutohudhuria vikao vitatu vya bunge
Nassari amesema mambo mengi waliyokuwa wakiyasema alipokuwa upinzani yametekelezwa na Dkt. Magufuli katika muhula wa kwanza wa uongozi wake.
[emoji23][emoji23][emoji23]haka ka msemo haka hatari sana hakaCCM vyeo ni vingi!
Dogo ameambiwa atapewa kazi, yaani huyu mzee ameutafsiri uongozi kama ajira na kwa mamlaka yake anagawa vyeo kwa utashi wake na si system inayosaidia mchakato alafu yeye anafanya teuziDogo angekuwa Chadema ubunge ungekuwa halali yake tena lakini akanunulika sasa anajuta kuliona game changer Lissu anavyowakimbiza mpaka hilo jiwe lao
Ha ha ha Chadema nacho ni chama, ama saccos ya mwenyekiti.Dogo angekuwa Chadema ubunge ungekuwa halali yake tena lakini akanunulika sasa anajuta kuliona game changer Lissu anavyowakimbiza mpaka hilo jiwe lao
Amiri jeshi mkuu. Mbowe si angejaza familia yake na michepuko yake tu maana hio kambi ya upinzani na uenyekiti wa saccos kawala kama wote.Dogo ameambiwa atapewa kazi, yaani huyu mzee ameutafsiri uongozi kama ajira na kwa mamlaka yake anagawa vyeo kwa utashi wake na si system inayosaidia mchakato alafu yeye anafanya teuzi
Yaani Lissu eti game changer?! Mualikeni Amsterdam aje ahesabu kura zenu ..ili aone mwenyewe watz walivyo jeuri...mtz na beberu na kibaraka wake hawaivi kabisa..Dogo angekuwa Chadema ubunge ungekuwa halali yake tena lakini akanunulika sasa anajuta kuliona game changer Lissu anavyowakimbiza mpaka hilo jiwe lao
Kile alichoongea ni kimeru, si kimasai tatizo huyu mleta mada hajui chochoteKaongea kimasai? Kwanini sio kimeru?
Nenda kachaji tunguli lako tena
Na ccm Ni chama au genge la dhulma na mauajiHa ha ha Chadema nacho ni chama, ama saccos ya mwenyekiti.
Okay okayKile alichoongea ni kimeru, si kimasai tatizo huyu mleta mada hajui chochote
Hapo ndo ujue kuwa njaa ni mbaya..CCM imezidi kudumaza akiri za vijana wasiojitambua, Hivi unaanzaje kuomba msamaha kwa kufanya maamuzi ambayo wewe mwenyewe uliyafanya pasipo kurubuniwa na mtu??? Nassari ni nani alimrubuni agombee ubunge 2012??? Yaani unaomba msamaha kwa kutekeleza haki yako ya Kidemokrasia????