Joshua Nassari: CCM ni limbuyu (mbuyu mkubwa)

Joshua Nassari: CCM ni limbuyu (mbuyu mkubwa)

Mtukudzi

Senior Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
104
Reaction score
413
Kijana Joshua Nasari amekiri kwamba CCM ni mbuyu mkubwa (limbuyu).
Anasema wakati wote akiwa opposition hawakuwahi kuangusha mbuyu huu. Swali langu ni je, alipokuwa anagombea Arumeru na kushinda alikuwa anakishinda chama gani?

 
Dogo amekuwa taahira
Nmejaribu sna kuomba kuongea na ww Dada yngu ila sijui kwa nn utaki kunipa hiyo nafasi kwangu naic umenipa hukumu bila kunisikiliza khs wanasiasa wetu na waafrika kwa ujumla swala nzima la kutawala na kusimamia haki atuwezi wala atutakuja kuweza Trump na Prof Smith wapo sahihi sie tunaitaji kuletewa magavana naishi South Africa zaidi miaka 19 sasa hv kinachoendelea hapa Nina hakika Nina hakika maana miaka Kumi Mbele hii itakuwa ni Zimbabwe ya tatu Maana ya kwanza ni Zimbabwe Original ya Pili Tanzania ya tatu itakuja kuwa hii Kuna sera yao saizi inapigiwa sna kelele hapa na Raia wa kawaida na wanasiasa wachukue mashamba kwa watu weupe ila Raia wa kawaida wanasahau km hayo mashamba serikali hiki ya chukua tu kwanza watagawana wao na watt zao km Zimbabwe hlf watakosa hata ajira hizi ambazo wanazo sasa hv Afrika ni mtihani mzito...
IMG_20200320_223458.jpg
 
Nmejaribu sna kuomba kuongea na ww Dada yngu ila sijui kwa nn utaki kunipa hiyo nafasi kwangu naic umenipa hukumu bila kunisikiliza khs wanasiasa wetu na waafrika kwa ujumla swala nzima la kutawala na kusimamia haki atuwezi wala atutakuja kuweza Trump na Prof Smith wapo sahihi sie tunaitaji kuletewa magavana naishi South Africa zaidi miaka 19 sasa hv kinachoendelea hapa Nina hakika Nina hakika maana miaka Kumi Mbele hii itakuwa ni Zimbabwe ya tatu Maana ya kwanza ni Zimbabwe Original ya Pili Tanzania ya tatu itakuja kuwa hii Kuna sera yao saizi inapigiwa sna kelele hapa na Raia wa kawaida na wanasiasa wachukue mashamba kwa watu weupe ila Raia wa kawaida wanasahau km hayo mashamba serikali hiki ya chukua tu kwanza watagawana wao na watt zao km Zimbabwe hlf watakosa hata ajira hizi ambazo wanazo sasa hv Afrika ni mtihani mzito...View attachment 1514531
Sasa wewe unataka kusikilizwa na Sky Eclat si hapa pia unaweza sikilizwa au unataka PM?

Nimecheka sana para ya kwanza.
 
Back
Top Bottom