Na aliyempa utahira amekufaDogo amekuwa taahira
Sababu ya S.A kuwa Zimbabwe umeitaja, Sababu ya Tz kuwa Zimbabwe hujaitaja, Tukueleweje we kijana??Nmejaribu sna kuomba kuongea na ww Dada yngu ila sijui kwa nn utaki kunipa hiyo nafasi kwangu naic umenipa hukumu bila kunisikiliza khs wanasiasa wetu na waafrika kwa ujumla swala nzima la kutawala na kusimamia haki atuwezi wala atutakuja kuweza Trump na Prof Smith wapo sahihi sie tunaitaji kuletewa magavana naishi South Africa zaidi miaka 19 sasa hv kinachoendelea hapa Nina hakika Nina hakika maana miaka Kumi Mbele hii itakuwa ni Zimbabwe ya tatu Maana ya kwanza ni Zimbabwe Original ya Pili Tanzania ya tatu itakuja kuwa hii Kuna sera yao saizi inapigiwa sna kelele hapa na Raia wa kawaida na wanasiasa wachukue mashamba kwa watu weupe ila Raia wa kawaida wanasahau km hayo mashamba serikali hiki ya chukua tu kwanza watagawana wao na watt zao km Zimbabwe hlf watakosa hata ajira hizi ambazo wanazo sasa hv Afrika ni mtihani mzito...View attachment 1514531
Upo sahihi Kaka yngu mie lawama sio kwa viongozi wngu wa Tanzania tu nmejaribu kuangalia utawala wa viongozi wetu karibu Afrika yote ndugu yngu Angalia jirani zetu mfano wa karibu unaic mzee wetu Mseven kipi kilifanya kumtoa Iddy Amin na yy saizi anafanya nn kidonda kibichi kbs hiki hapa President Alassane Ouattara saizi anataka kubadilisha katiba chuma kibaki madarakani Sina shida kbs na utawala wa Mh Magufuli km unavyotaka kunigombanisha na Mzee wetu CCM OYEEE...Sababu ya S.A kuwa Zimbabwe umeitaja, Sababu ya Tz kuwa Zimbabwe hujaitaja, Tukueleweje we kijana??
Mnapenda nchi Nzuri Nzuri Kwa wenzenu waliotoa jasho kuzijenga huku mkitukana nchi mlikozaliwa na kuziombea mabaya, sjui tuwaeleweje
Ndio nyie mtu UMEZALIWA na mtu wa kawaida siku ya siku unaanza kulaumu Kwa nini ulizaliwa nayeye badala ya kuzaliwa na Mengi?
Kumbe ulipaswa ujiboreshe Tu, na inawezekana kabisa
Karibu nyumbani kumenoga
Alisema kabla ya uamuzi akishauriana na mke wake..Dogo jinga kacheza karata vibaya.Pole yake
Huyo kwa sasa si ndege wala mnyama. Popo huyo.Ataropoka sana lkn haaminiki popote kwa sasa, Asubirie U-DAS!
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Kuishinda njaa kwataka ujasiri ambao wengi hawakujaliwa.Dogo amekuwa taahira
Kijana Joshua Nasari amekiri kwamba CCM ni mbuyu mkubwa (limbuyu).
Anasema wakati wote akiwa opposition hawakuwahi kuangusha mbuyu huu. Swali langu ni je, alipokuwa anagombea Arumeru na kushinda alikuwa anakishinda chama gani?
View attachment 1514485
[/QUO
Kilichobaki ni kujipendekeza tu
Kwani mtu asipokuwa mbunge inabidi aolewe? Ulivyoolewa wewe inatosha watz tupo 60 mil na wabunge wapo 300.Alipofika atakubali hata kuolewa ili.maisha yasonge ametema big g kwa karanga ya kuonjeshwa
Majukumu ya kulea mke na watoto yameanza kugonga "medulla oblongata" yake. Na bado.Dogo amekuwa taahira
Eleza! kwanini Tanzania ni Zimbawe ya pili?Nmejaribu sna kuomba kuongea na ww Dada yngu ila sijui kwa nn utaki kunipa hiyo nafasi kwangu naic umenipa hukumu bila kunisikiliza khs wanasiasa wetu na waafrika kwa ujumla swala nzima la kutawala na kusimamia haki atuwezi wala atutakuja kuweza Trump na Prof Smith wapo sahihi sie tunaitaji kuletewa magavana naishi South Africa zaidi miaka 19 sasa hv kinachoendelea hapa Nina hakika Nina hakika maana miaka Kumi Mbele hii itakuwa ni Zimbabwe ya tatu Maana ya kwanza ni Zimbabwe Original ya Pili Tanzania ya tatu itakuja kuwa hii Kuna sera yao saizi inapigiwa sna kelele hapa na Raia wa kawaida na wanasiasa wachukue mashamba kwa watu weupe ila Raia wa kawaida wanasahau km hayo mashamba serikali hiki ya chukua tu kwanza watagawana wao na watt zao km Zimbabwe hlf watakosa hata ajira hizi ambazo wanazo sasa hv Afrika ni mtihani mzito...View attachment 1514531
[emoji23][emoji23]Hawa wajumbe wa CCM wamenifuraisha Sana maana wao wanajua anaye stahili kushindaCCM wenyewe wamemuona ni zwazwa ndiyo maana kapata kura 6 [emoji1787]
Kwanza hiyo nchi ni yetu sote sio ya wanasiasa peke yao iwe CCM CUF au TLP mfano mdogo watanzania au niseme wakazi wa Dar es Salaam kwa muda Gani walikuwa wanalalamika juu ya utendaji kazi wa Mkuu wao wa mkoa juu ya dhuruma juu yao na kauli zilizokosa Utu juu yao ila majibu kutoka mamlaka iliyompa madaraka au niseme cheo hicho ilikuwa inasema aipangiwi Dalili ya mvua ni mawingu mfano wengine Jana Dodoma khs ujenzi wa Ofisi ya TAKUKURU Chato mangapi yamefanyika kwa jipendekeza wanasema hata yale majibu ya kukataa ujenzi wa hiyo ofisi eti ni sababu ya uchaguzi ni mwaka huu... Samahani sio muandishi mzuri sna kingine nipo kwenye mbio za kutafuta mkate wa kila sikuEleza! kwanini Tanzania ni Zimbawe ya pili?