Dogo amekuwa taahira
[/QUOTE.
Taahira kitambo
Hebu achaneni na hili jingaKijana Joshua Nasari amekiri kwamba CCM ni mbuyu mkubwa (limbuyu).
Anasema wakati wote akiwa opposition hawakuwahi kuangusha mbuyu huu. Swali langu ni je, alipokuwa anagombea Arumeru na kushinda alikuwa anakishinda chama gani?
View attachment 1514485
Kijana Joshua Nasari amekiri kwamba CCM ni mbuyu mkubwa (limbuyu).
Anasema wakati wote akiwa opposition hawakuwahi kuangusha mbuyu huu. Swali langu ni je, alipokuwa anagombea Arumeru na kushinda alikuwa anakishinda chama gani?
View attachment 1514485