cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,709
Nasarry kasikitisha Sana, na kujizalilisha Magufuli amkumbuke tuAnabembeleza uteuzi maana hana pa kwenda zaidi ya kusubiri huruma ya mteuzi.
Nasarry kasikitisha Sana, na kujizalilisha Magufuli amkumbuke tuAnabembeleza uteuzi maana hana pa kwenda zaidi ya kusubiri huruma ya mteuzi.
Ajiajiri sasaNa ile Project ya YALE imeisha, umri umeshapita labda akahudhurie kama Alumni
Sio aliunga juhudi kijanja huyo Nassari, kweli wanaume hawaaminiki nawapongeza wabunge waliojikaza kisabuni na kuwasaliti wapiga kura wao maana ilikuwa kipindi kigumu sanadogo kakosa kiinua mgongo,kakosa VX
na mbaya zaidi cent zake kahonga nakaishia kupata kura za STD 6
Mi namuona anajishtukia tuKajamaa kamekuwa kajinga sana, hakajiamini tena, katazame hata kakiwa mbele za watu siku hizi kanajikunyata tu kama katoto.
- Aisee sijui hata umemaanisha nini hapo. jifunze kuandika kijana, nafikiri ndio sababu iliyomfanya madame akufungie vioo.Kwanza hiyo nchi ni yetu sote sio ya wanasiasa peke yao iwe CCM CUF au TLP mfano mdogo watanzania au niseme wakazi wa Dar es Salaam kwa muda Gani walikuwa wanalalamika juu ya utendaji kazi wa Mkuu wao wa mkoa juu dhuruma juu yao na kauli zilizokosa Utu juu yao ila majibu kutoka mamlaka iliyompa madaraka au cheo hicho ilikuwa aipangiwi Dalili ya mvua mawingu mfano wengine Jana Dodoma khs ujenzi wa Ofisi ya TAKUKURU Chato mangapi yamefanyika kwa jipendekeza wanasema hata yale majibu ya kukataa ujenzi hiyo ofisi eti ni sababu ya uchaguzi mwaka huu... Samahani sio muandishi mzuri sna kingine nipo kwenye mbio za kutafuta mkate wa kila siku
Sawa ntafanya hivyo mkuu unajua- Aisee sijui hata umemaanisha nini hapo. jifunze kuandika kijana, nafikiri ndio sababu iliyomfanya madame akufungie vioo.
- Unakosoa uongozi wakati huohuo wewe unashidwa kuiongoza akili yako kujenga na kuwasilisha hoja kwa namna wengine wataelewa.
NB: Nimeandika hapa ili nikumotivate ujifunze uandishi mzuri, no offence.
Wanaume hatuaminiki tena?Sio aliunga juhudi kijanja huyo Nassari, kweli wanaume hawaaminiki nawapongeza wabunge waliojikaza kisabuni na kuwasaliti wapiga kura wao maana ilikuwa kipindi kigumu sana
Wasahau hilo stone ni msanii labda awamjui,Anabembeleza uteuzi maana hana pa kwenda zaidi ya kusubiri huruma ya mteuzi.
Asilimia kubwa hamuaminiki angalia waliounga juhudi wote wanaume ukimtoa Paulina Gekuli, Bora wanawake wakisimama hukumbuka hata fadhila aiseeWanaume hatuaminiki tena?
Anabembeleza uteuzi maana hana pa kwenda zaidi ya kusubiri huruma ya mteuzi.
Hahaha mimi naaminika sana! Niamini na wewe please. Ccm sio damu yangu kabisa, since I joined JF sijawahi kuwa upande waoAsilimia kubwa hamuaminiki angalia waliounga juhudi wote wanaume ukimtoa Paulina Gekuli, Bora wanawake wakisimama hukumbuka hata fadhila aisee
Aende akalambe makalio, pumbavu kabisa!Anabembeleza uteuzi maana hana pa kwenda zaidi ya kusubiri huruma ya mteuzi.
... tangu lini ndm ikawa na thamani baada ya matumizi? Hata kuitazama ni kinyaa!Na akipita Mzee baba awamu hii hatawanunua tena