Joshua Nassari: CCM ni limbuyu (mbuyu mkubwa)

Sababu ya S.A kuwa Zimbabwe umeitaja, Sababu ya Tz kuwa Zimbabwe hujaitaja, Tukueleweje we kijana??

Mnapenda nchi Nzuri Nzuri Kwa wenzenu waliotoa jasho kuzijenga huku mkitukana nchi mlikozaliwa na kuziombea mabaya, sjui tuwaeleweje

Ndio nyie mtu UMEZALIWA na mtu wa kawaida siku ya siku unaanza kulaumu Kwa nini ulizaliwa nayeye badala ya kuzaliwa na Mengi?
Kumbe ulipaswa ujiboreshe Tu, na inawezekana kabisa

Karibu nyumbani kumenoga
 
Upo sahihi Kaka yngu mie lawama sio kwa viongozi wngu wa Tanzania tu nmejaribu kuangalia utawala wa viongozi wetu karibu Afrika yote ndugu yngu Angalia jirani zetu mfano wa karibu unaic mzee wetu Mseven kipi kilifanya kumtoa Iddy Amin na yy saizi anafanya nn kidonda kibichi kbs hiki hapa President Alassane Ouattara saizi anataka kubadilisha katiba chuma kibaki madarakani Sina shida kbs na utawala wa Mh Magufuli km unavyotaka kunigombanisha na Mzee wetu CCM OYEEE...
 
Mimi nadhani ukienda Ccm huwa wanawafyonza some nutrients in brain
 
Akili ni nywele, kila mtu ana zake walinena washwahili...

Dogo alifikiri CCM imekuja tu kutoka mbinguni, hivyohivyo hata CDM na upinzani haviji tu kutoka mbinguni lazima vijengwe na watu na watu wenyewe ni akina nani sasa?4
 
Eleza! kwanini Tanzania ni Zimbawe ya pili?
 
dogo kakosa kiinua mgongo,kakosa VX

na mbaya zaidi cent zake kahonga nakaishia kupata kura za STD 6
 
Eleza! kwanini Tanzania ni Zimbawe ya pili?
Kwanza hiyo nchi ni yetu sote sio ya wanasiasa peke yao iwe CCM CUF au TLP mfano mdogo watanzania au niseme wakazi wa Dar es Salaam kwa muda Gani walikuwa wanalalamika juu ya utendaji kazi wa Mkuu wao wa mkoa juu ya dhuruma juu yao na kauli zilizokosa Utu juu yao ila majibu kutoka mamlaka iliyompa madaraka au niseme cheo hicho ilikuwa inasema aipangiwi Dalili ya mvua ni mawingu mfano wengine Jana Dodoma khs ujenzi wa Ofisi ya TAKUKURU Chato mangapi yamefanyika kwa jipendekeza wanasema hata yale majibu ya kukataa ujenzi wa hiyo ofisi eti ni sababu ya uchaguzi ni mwaka huu... Samahani sio muandishi mzuri sna kingine nipo kwenye mbio za kutafuta mkate wa kila siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…