Joshua Nassari: CCM ni limbuyu (mbuyu mkubwa)

dogo kakosa kiinua mgongo,kakosa VX

na mbaya zaidi cent zake kahonga nakaishia kupata kura za STD 6
Sio aliunga juhudi kijanja huyo Nassari, kweli wanaume hawaaminiki nawapongeza wabunge waliojikaza kisabuni na kuwasaliti wapiga kura wao maana ilikuwa kipindi kigumu sana
 
- Aisee sijui hata umemaanisha nini hapo. jifunze kuandika kijana, nafikiri ndio sababu iliyomfanya madame akufungie vioo.

- Unakosoa uongozi wakati huohuo wewe unashidwa kuiongoza akili yako kujenga na kuwasilisha hoja kwa namna wengine wataelewa.

NB: Nimeandika hapa ili nikumotivate ujifunze uandishi mzuri, no offence.
 
Sawa ntafanya hivyo mkuu unajua
 
Sio aliunga juhudi kijanja huyo Nassari, kweli wanaume hawaaminiki nawapongeza wabunge waliojikaza kisabuni na kuwasaliti wapiga kura wao maana ilikuwa kipindi kigumu sana
Wanaume hatuaminiki tena?
 
tahadhari kuna wengine waliohamia CCM watabemendwa na CCM mpaka kichekesho.. 🤣 🤣
 
Anabembeleza uteuzi maana hana pa kwenda zaidi ya kusubiri huruma ya mteuzi.
Wasahau hilo stone ni msanii labda awamjui,
Tupo hapa Hakuna yeyeto akateuliwa wajiunge kumtembeza bahasha tu,
Walishajipatia ajira wengine wakaonywa hawakusikia tamaa mbaya.Katambi , lijuakali sijui atafanya kazi gani kwa mfano.
 
Asilimia kubwa hamuaminiki angalia waliounga juhudi wote wanaume ukimtoa Paulina Gekuli, Bora wanawake wakisimama hukumbuka hata fadhila aisee
Hahaha mimi naaminika sana! Niamini na wewe please. Ccm sio damu yangu kabisa, since I joined JF sijawahi kuwa upande wao
 
Ameanza kuuza mashamba sasa
Hali mbaya kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…