Joshua Nassari: CCM ni limbuyu (mbuyu mkubwa)

Kweli CCM ni limbuyu jiti kubwaaa linatoa ubuyu wa 50 au 100 Tz shs halina faida!! Heri hata muhogo hutoa mihogo, kisamvu na kuni!! Tafakari ya Mh. Nasari baada ya kupata kura 6!!! Huyu dogo zaidi ya samaki!!
 
Nasari anaendelea kudhalilisha vijana mpaka Mzee Kapuya na Wartsila wameamua kurudi bungeni sasa..
 
[SUP]Hatari sana hawa vijana mbogamboga..[/SUP]
 


Dogo mapepe na kakosa kazi. Yaani hata bungeni alikuwa hawezi kwenda!!!! kazi bure eti leo anaomba ubunge!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…