American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
una utani sana we dogo, Nimekaa nyumba tofauti, Zenye AC Kuwasha AC moja ya sebuleni kwa siku kuanzia saa moja hadi saa nne usiku inabonda umeme wa 30000 kiulaini kabisa, Hiyo ni AC moja, siku Moja Una utani khaaa!Kukataa ni haki yako. Mimi naweka umeme wa 10000 ambazo kama si mwanzo wa mwezi ni unit 28, zinakaa siku 5 hadi 6 tu
Mbona cha mtoto hicho. Hapa kwetu ni 35 kwenda mbeleHabari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Mila na desturi zetu ni kuziba uchi tu. Kifua maziwa na mapaja nje. Kuvaa manguo ya kujiziba haifai kabisa, ni kinyume na mila na desturi zetu.Kuvaa nguo nyepesi inaweza isiwe vizuri kwa mila na desturi zetu
Huku Khartoum tunatembea na 45 afu freshi tuHabari wadau.
Joto la Dar sasa hivi linarange kati ya 33 • C hadi 35•C lakini unapata feeling ya 41•C kutokana na humidity. Kwa kweli hali hii ni mbaya sana ambayo kama huna air condition iwe kwenye usafiri au nyumbani kwako kwako maisha yatakuwa ya taabu sana.
Tips muhimu za kuishi maisha ya hali hii ya joto ni pamoja na;
1. kunywa maji na vimiminika kwa wingi
2. Kuepuka kukaa kwenye jua moja kwa moja
3. Kuvaa nguo nyepesi
Hope TMA wataliongelea hili and hope hizotips zimesaidia
View attachment 2858039
Ni kweli kabisa. Huku mikoani utumbo wa kuku na miguu sisi tunatupa lakini Dar wanakulaWatu wanaoishi Dar, maisha yao ni ya tabu sana,
Kuna ishu ya relative humidity mkuu..Kwa miji ya Pwani kunakuwa na relative humidity kubwa ambayo inazuia mzunguko wa hewa, kwahiyo 35 ya Dar inaweza kuwa sawa na 45 ya Kartoum. Nzega pia huwa wanafikia hii temperature ya 38•C but siyo ishu sana coz kwao wana low RHM.Huku Khartoum tunatembea na 45 afu freshi tu
Nilikuwa dessert la Uarabuni miaka ya nyumaKuvaa nguo nyepesi inaweza isiwe vizuri kwa mila na desturi zetu
Kiyoyozi kinakula init ngapi kwa siku kiongoziHuwezi washa fan na AC ukatumia unit 6 kwa siku. Huna AC dogo. Acha mbwembwe.
Dah ndio maana dawa ya moto ni motoNilikuwa dessert la Uarabuni miaka ya nyuma
Kitu nilichoshaa pamoja na joto la nyuzi zaidi ya 50
Ila unakuta watu wanaishi kwenye mahema na nguo zao zimeshonwa kwa manyoa ya kondoo
Wanavaa kwenye joto hilo
Niliuliza local hapo wakasema kama unavaa nguo nzito kujikonga na baridi na hivyo hivyo unavaa nguo nzito kujikinga na joto strange but true
Na maji nilikuwa sinywi ni mwendo wa chai tu chunguza kwa nini wanakunywa chai kwenye joto pia
Nilitaka kusema nkaamua kukaa kmyaHuwezi washa fan na AC ukatumia unit 6 kwa siku. Huna AC dogo. Acha mbwembwe.
Dogo muongo muongo ....Bora umewahi kumwambia mimi mwenyewe nilitaka kumkosoa
Mmmmmmh...... Hii..... Ha ha ha.Dah ndio maana dawa ya moto ni moto
Kweli mkuuDah ndio maana dawa ya moto ni moto
Duh msimu wa joto mwezi wa ngapi?Sasa ikifika kipindi cha joto si ndio balaa mara mbili
Vyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.
Ukiamua kubisha bisha tu ni haki yako
Mwezini unaendaje?Ukiona nimevaa nguo hata ya ndani ujue natoka
Tofauti na hapo nakaa ndani kama Hawa kwenye bustani ya Eden