Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Aahh.. Mkuu, masihara hayo ndugu yangu, hizo ac unawasha kwa dk ngapi mzee?
Inategemea mimi chumbani kwangu nawasha auto 23 tu itajizima na kujiwasha yenyewe kumantain hll joto.
Vyumba vingine sijui sijawah fuatilia maana wanalala watoto wa kike ila nao mostly naona wanawasha usku mchana wanawasha feni sebulen hakuna ac ni fenu hizi zunaunguruma from morning hadi muda wa kulala.
Na hapo kinachosaidia ni kwamba kuna mgao kuna siku umeme unakata siku nzima
 
Haya mkuu
 
Mkuu unit 5 mpaka 6, yaani una mafriji, mafeni, ac bado unatumia unit 5, bado haujapiga pasi, na matumizi mengine, Mbona naona kama unatumia umeme wa bei rahisi mzee?
Nina friji moja Ac tatu, na feni mbili sebuleni. Mimi sijawahi tumia umeme kiasi hiki siku zote huwa nayumia umeme unit 3 tu ni nyumba hii inayokula umeme hivi. Mimi shida yangu siku zote huwa maji si umeme ila sijawahi kukaa nyumba nayumia umeme kiasi hiki
 
Mimi nilidhan shida iko kwenye hii nyumba mpya niliyohamia maana hata mvua inyeshe bado kuna joto.
Yani sasa hivi natumia unit almost 5 hadi 6 kwa siku maana mafeni na AC ndani ya nyumba zinawashwa muda mrefu.
Kumbe hata kwa wengine hivyo hivyo.
Kwa kweli hili joto ni balaa na sasa ilipaswa walau kuwepo baridi kidogo
Acha utani ndugu, ni vipi kwenye nyumba yako AC zinawashwa na mafeni juu alafu unatumia units 5-6 kwa siku??
 
Mimi sia AC but umeme wa 10k unakaa siku 7 tu na nyumba siyo kubwa. Kwa AC zinaweza panda hadi unit 10 kwa siku na zaidi
Noma sana. Mimi nlipokuwa natafta nyumba nikakuta hii nyumba ina ac na feni kila chumba na budget iko ndani ya budget nikafurahi ila sasa naona haya masuala ya umeme yanafanya matumizi yangu yaongezeke.
Mkuu mimi sijawahi tumia zaidi ya unit 3 toka nimeanza kuishi sema pia kipindi hicho sikuwa na familia kubwa.
 
Nina friji moja Ac tatu, na feni mbili sebuleni. Mimi sijawahi tumia umeme kiasi hiki siku zote huwa nayumia umeme unit 3 tu ni nyumba hii inayokula umeme hivi. Mimi shida yangu siku zote huwa maji si umeme ila sijawahi kukaa nyumba nayumia umeme kiasi hiki
Labda ni zile ac za kisasa wanaziita invetor sijui kitu gani hazili umeme kama Ac za kawaida.
 
Noma sana. Mimi nlipokuwa natafta nyumba nikakuta hii nyumba ina ac na feni kila chumba na budget iko ndani ya budget nikafurahi ila sasa naona haya masuala ya umeme yanafanya matumizi yangu yaongezeke.
Mkuu mimi sijawahi tumia zaidi ya unit 3 toka nimeanza kuishi sema pia kipindi hicho sikuwa na familia kubwa.
Ukiwa na familia ndo utafeel hizo units, ukiwa peke yako hukai sana home, lets say unatoka asubuhi unarudi usiku huko, matumizi yanakuwa madogo. Ukiwa na familia umeme unatumika mchana kutwa na usiku lazima units zisepe
 
Back
Top Bottom