Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Huko buguruni,manzese sijui wanaishije na joto hiliSisi wa huku Pugu mpaka Kisarawe tuna nafuu kidogo.Tunatuma salamu Kwa ndugu zetu wa Manzese na Buguruni Kwa Mnyamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko buguruni,manzese sijui wanaishije na joto hiliSisi wa huku Pugu mpaka Kisarawe tuna nafuu kidogo.Tunatuma salamu Kwa ndugu zetu wa Manzese na Buguruni Kwa Mnyamani.
Inategemea mimi chumbani kwangu nawasha auto 23 tu itajizima na kujiwasha yenyewe kumantain hll joto.Aahh.. Mkuu, masihara hayo ndugu yangu, hizo ac unawasha kwa dk ngapi mzee?
Haya mkuuInategemea mimi chumbani kwangu nawasha auto 23 tu itajizima na kujiwasha yenyewe kumantain hll joto.
Vyumba vingine sijui sijawah fuatilia maana wanalala watoto wa kike ila nao mostly naona wanawasha usku mchana wanawasha feni sebulen hakuna ac ni fenu hizi zunaunguruma from morning hadi muda wa kulala.
Na hapo kinachosaidia ni kwamba kuna mgao kuna siku umeme unakata siku nzima
Nina friji moja Ac tatu, na feni mbili sebuleni. Mimi sijawahi tumia umeme kiasi hiki siku zote huwa nayumia umeme unit 3 tu ni nyumba hii inayokula umeme hivi. Mimi shida yangu siku zote huwa maji si umeme ila sijawahi kukaa nyumba nayumia umeme kiasi hikiMkuu unit 5 mpaka 6, yaani una mafriji, mafeni, ac bado unatumia unit 5, bado haujapiga pasi, na matumizi mengine, Mbona naona kama unatumia umeme wa bei rahisi mzee?
Mimi sina AC but umeme wa 10k unakaa siku 7 tu na nyumba siyo kubwa. Kwa AC zinaweza panda hadi unit 10 kwa siku na zaidiKukataa ni haki yako. Mimi naweka umeme wa 10000 ambazo kama si mwanzo wa mwezi ni unit 28, zinakaa siku 5 hadi 6 tu
Upo sahihi mkuu. Kama unategemea panga boy au feni ya kusimama ili kupambana na joto jua wewe ni masikini.Matajiri hawalii joto kali ,Nyie wengine endeleeni kuteseka Dar
Mkuu unit 5 mpaka 6, yaani una mafriji, mafeni, ac bado unatumia unit 5, bado haujapiga pasi, na matumizi mengine, Mbona naona kama unatumia umeme wa bei rahisi mzee?
Acha utani ndugu, ni vipi kwenye nyumba yako AC zinawashwa na mafeni juu alafu unatumia units 5-6 kwa siku??Mimi nilidhan shida iko kwenye hii nyumba mpya niliyohamia maana hata mvua inyeshe bado kuna joto.
Yani sasa hivi natumia unit almost 5 hadi 6 kwa siku maana mafeni na AC ndani ya nyumba zinawashwa muda mrefu.
Kumbe hata kwa wengine hivyo hivyo.
Kwa kweli hili joto ni balaa na sasa ilipaswa walau kuwepo baridi kidogo
Noma sana. Mimi nlipokuwa natafta nyumba nikakuta hii nyumba ina ac na feni kila chumba na budget iko ndani ya budget nikafurahi ila sasa naona haya masuala ya umeme yanafanya matumizi yangu yaongezeke.Mimi sia AC but umeme wa 10k unakaa siku 7 tu na nyumba siyo kubwa. Kwa AC zinaweza panda hadi unit 10 kwa siku na zaidi
Labda ni zile ac za kisasa wanaziita invetor sijui kitu gani hazili umeme kama Ac za kawaida.Nina friji moja Ac tatu, na feni mbili sebuleni. Mimi sijawahi tumia umeme kiasi hiki siku zote huwa nayumia umeme unit 3 tu ni nyumba hii inayokula umeme hivi. Mimi shida yangu siku zote huwa maji si umeme ila sijawahi kukaa nyumba nayumia umeme kiasi hiki
Hata kama ingekua AC moja huwezi tumia 3 units kwa siku. Labda uwe unaiba umeme.Vyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.
Ukiamua kubisha bisha tu ni haki yako
Ukiwa na familia ndo utafeel hizo units, ukiwa peke yako hukai sana home, lets say unatoka asubuhi unarudi usiku huko, matumizi yanakuwa madogo. Ukiwa na familia umeme unatumika mchana kutwa na usiku lazima units zisepeNoma sana. Mimi nlipokuwa natafta nyumba nikakuta hii nyumba ina ac na feni kila chumba na budget iko ndani ya budget nikafurahi ila sasa naona haya masuala ya umeme yanafanya matumizi yangu yaongezeke.
Mkuu mimi sijawahi tumia zaidi ya unit 3 toka nimeanza kuishi sema pia kipindi hicho sikuwa na familia kubwa.
Sijui mkuu ila vyumba viwili vinashare compressor moja kubwa. Sijui inaitwa compressor ile sehem inayokaa nje inazungukaLabda ni zile ac za kisasa wanaziita invetor sijui kitu gani hazili umeme kama Ac za kawaida.
Mkuu hayo ndio matumizi yangu na bado mimi naona ni makubwa maana sijawah tumia umeme hivi ni nyumba hii tuHata kama ingekua AC moja huwezi tumia 3 units kwa siku. Labda uwe unaiba umeme.
ni central AC hizi kama sijakoseaSijui mkuu ila vyumba viwili vinashare compressor moja kubwa. Sijui inaitwa compressor ile sehem inayokaa nje inazunguka
Kabisa kaka, mie akili inagoma kukubali hilo jambo.Atakuwa anaiba umeme huyu