Dahh kuna watu wana akili ya ndoa, nimesoma kitu kwako.Sisi nyumbu tunajuwa kukalia chupi zetu, hakuna anaejua rangi yake. Mambo ya ndani ni chupi yako haitakiwi mtu aione zaidi ya mumeo.
MWANAMKE KALIA CHUPI YAKO
Angekaa kimya tu, wenzie wakiwa na hasira/stress wanafumba midomo kuepusha mambo kama haya.stress zinamsumbua huyu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeamua kutoa kitchen party bila vyombo.MWANAMKE KALIA CHUPI YAKO
Hata kunywa wine ukilewa unalala kesho ina mengine[emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeamua kutoa kitchen party bila vyombo.
Kabisa. Unaonaje ukimtafuta huyu mwanamke mwenzetu umpe ushauri huu? Maana inaonekana hana washauri wazuri.Hata kunywa wine ukilewa unalala kesho ina mengine
Kileo kajivua huo mzigo haubebeki kabisaKileo hapa ulichemka, huyu mwanamke hafai kabisa,
Huyu mwanamke anahitaji ushauri nasaha si akli zakeDuh yaani jinsi Kilewo alvyokuwa decent ndio kaangukia kwa mwanamkewa namna hii?? Laiti ingekua siwafahamu....
Ahsante dadakeSisi nyumbu tunajuwa kukalia chupi zetu, hakuna anaejua rangi yake. Mambo ya ndani ni chupi yako haitakiwi mtu aione zaidi ya mumeo.
MWANAMKE KALIA CHUPI YAKO
Hapo sasa na huyu Joyce ni aina ya wanawake Sana'a wadi finish a watoto na babazao.utakuta anawaambia watoto baba yenu hana kitu mm ndio namlisha ,namvisha ,nalipa kodi ya nyumba,nawalipia schools fees hapo mtoto lazima anyone babake boya hata akiongea kitu hamsikiliziMi nashangaa anavyoleta huku kwenye social media sasa toka.aanze kuandika sisi tumemsaidia nini zaidi ya kumshangaa
Hakumpokonya DJ Nelly Joyce ndio alidai tarakaMpe pole tu maana alijiona mjanja kumpokonya mwenzie mke hakujua kwamba anamtua zigo
Kileo hapa ulichemka, huyu mwanamke hafai kabisa,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jana kwenye taarifa ya habari nimemuangalia kilewo kidole cha pete imebaki alama tu sijui kasha iuza kwa sonara kanywea bia [emoji23][emoji23] mdomo ulimponza kichwa atulie atapata kibenten chakuki lea.
Ndio wanawake ambao wanaume mnavutiwa nao mkiwaona. Acha muisome nambaKileo hapa ulichemka, huyu mwanamke hafai kabisa,
Mimi nina maneno lakini sidhani kama nikiyaweka hapa yatakuwa na uzito kama haya yako.Sisi nyumbu tunajuwa kukalia chupi zetu, hakuna anaejua rangi yake. Mambo ya ndani ni chupi yako haitakiwi mtu aione zaidi ya mumeo.
MWANAMKE KALIA CHUPI YAKO