manwest1
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 225
- 135
Dahh kuna watu wana akili ya ndoa, nimesoma kitu kwako.Sisi nyumbu tunajuwa kukalia chupi zetu, hakuna anaejua rangi yake. Mambo ya ndani ni chupi yako haitakiwi mtu aione zaidi ya mumeo.
MWANAMKE KALIA CHUPI YAKO