Joyce Kiria arudi kimya kimya kwa mumewe baada ya kumdhalilisha mitandaoni

Mume kashamuelewa mwenzake....na mume ndiye hasa alitaka habari itoke....hilo la usipositi halikuwa sharti bali kipaza sauti cha mke kuuela umma kuwa mme sasa ni ' resiponsible'
====
Kuishi nao kwa akili.
 
akina Mama Sabrina hawa, hata akiliwa analeta hapa. hawa wanawake wenye udhaifu huu huwa na utamu na uchungu wao
Ashaambiwa asipost akapost....wanawake na hata wanaume usioe/usiolewe na mtu mwenye maisha ya mtandaoni kila kitu kupost mwishowe atapost vya ndani kabisa
 
Pole kilewo. Unayoyapitia mungu anajua. But why?????????. Hivi hujaona wanawake wengine huko?????. Kuna wanawake/Vibinti vinaadabu vinatamani ata mtu wa kumwambia umeamkaje hakuna. Anyway maamuzi ni yako mkuu. As long mnamakubaliano fine!!!
 
Kumbe wanawake hua inawauma roho sana kuhudumia familia? Sasa unasikia uchungu gani wakati watoto umewazaa mwenye yani chakula na ada ndo vilimtoa povu amakweli ukizaliwa na umasikini unakua na akili za kimaskini forever
 
Kilewo amejibebea zigo lake la misumari, kila mtu ana zigo lake, ila zigo la jamaa linamchoma mbaya.
Wako zaidi ya hivyo ..ila wako kimya...
Tunakoelekea ....wanawake watakuwa na ujinga ule ule wa wanaume wengi!
 
Hapa nimekuelewa mkuu hawa watu sijui akili zao zina nn ila kuna wanaume wa hivi pia
 
Ashaambiwa asipost akapost....wanawake na hata wanaume usioe/usiolewe na mtu mwenye maisha ya mtandaoni kila kitu kupost mwishowe atapost vya ndani kabisa
Halafu alivyo mpumbavu anaandika tena hapohapo kwenye posti kwamba kaambiwa asiposti!! Si bora angemwambia hata kwa sms!!
 
Ha ha ha ha hatari

Hahahahaaa! Mwanawake ishi naye kwa busara. Anahitaji kusifiwa na kudanganywa, ukijidai wewe unaishi naye kwa heshima shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…