Ha ha ha ha ha lazma ukufwe kwa wivu aiseeKaumia sana...hii iko wazi!
Demu mwenyewe aliyemnyakulia ni kisu balaaa, na ana mshiko wa kufa mtu
Hao ndio mademu wa kuwa nao aisee, sio hawa kajamba nani mtu alikusaidia nauli ya kwenda interview ukapata kazi ndio inakuwa point ya kukusimangia hio, kila mkipishana kidogo eti kisa una kazi sahivi!!! Shenzee,Yes dear....halafu unaambiwa Moza ana heshima na adabu, mzuri, na ana hela!
Nilishindwa nikabwaga manyanga. Hadi sasa hivi bado analalamika kama huyo Joyce eti nimemwaribia maisha.hawafai hao mkuu! Ukimkazia wapo wanaobadilika ila kama mtu wa kulalamika sana na hana kifua unabwaga manyanga
HAhahahaha ipi tamuuu hapo,Mke akichoka ndoa atabwabwaja na kuropoka ,mume akichoka ndoa weeeeeee ni ma ACTION tuu kama yale ya JET LI au SHOZINIGA hahahaaaaaaaaaaa
Achana nae kazi kali zipo nyingi mbona tena zinazojiamini,mkwanja upo no njaa na adabu ni A1 hamna kusumbuana yani!Nilishindwa nikabwaga manyanga. Hadi sasa hivi bado analalamika kama huyo Joyce eti nimemwaribia maisha.
We unazungumzia 10, mtume MUhammad SAW alikuwa na wake 700 katika kipindi chake na hapo still kulikuwa na michepuko 300!Mitume gani hao walikuwa na wake kumi?
Wanawake Live kule!Naomba kuuliza ni taasisi gani Inatoa vyeo vya u - superwoman ??
Mabeki tatu wanashida nahis kuna minds Fulani huwa wana compasatePoint to note: USIOE BEKI TATU
Life linatupeleka resi na stress juu, bado mtu mwingine akupe stress. No wayAchana nae kazi kali zipo nyingi mbona tena zinazojiamini,mkwanja upo no njaa na adabu ni A1 hamna kusumbuana yani!
Ntumie japo picha ya huyo Moza mamii,nimefurahi kuona kilaza Kiria anasomeshwa namba, nilimchukia toka alipoanza biashara ya u super woman wa kumdhalilisha kamanda mitandaoni! Thats not a wifey behaviour kabisa, she a moron!Moza ni mrembo na katulia lazima joy awehuke tu hamna namna. Hafu ukimya wa kileo una muumiza
No way manee!Life linatupeleka resi na stress juu, bado mtu mwingine akupe stress. No way
Halafu bado anakomaa umtimizie na mahitaji yake huku anakukazia usipambane kutafuta mkwanjaNo way manee!
Waendeleze kupasha kiporo sio mahusiano tena, kuishi na mwanamke mshenzi kama Kiria ni kujitaftia kufa before 50!Nafikiri wakati anamzingua Kilewo alidhani bado analipa kwamba atafanya kama alivyomfanyia Nelly. Sasa hivi amegundua kumbe yupo saa 12:59 jioni ndo anaanza kujiliza liza mitandaoni. Kwa statements zake zile za mwanzo wakati anamkandia kilewo mitandaoni sikufikiri anaweza kuja na uzi kama huu tena. Ajitahidi aendelee na maisha aliyochagua.
Ila Kilewo sio vibaya ukimsamehe kama akikuomba msamaha muendeleze familia yenu hakuna mkamilifu hapa duniani.
HahahaWanawake wananifurahisha hii dhana yao ya kwamba Mume wao anafundishwa tabia mbaya hawajui wao ndio huwa wanatubadilisha.
Nina Shemeji yangu ananichukia kwa kudhani kila mume wake akichelewa kurudi anakua na mimi viwanja so ninamfundisha uhuni wakati angejua ukweli alitakiwa anihurumie mimi kwa kuwa na rafiki bazazi
Wanastaajabisha sana yani, hawafanyagi cause-effect analysis! Anaona hatua mbili mbele tuHalafu bado anakomaa umtimizie na mahitaji yake huku anakukazia usipambane kutafuta mkwanja