mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
huyu dada kuna kitu anakikosa tangu aachike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbeeee hata Kama mm ningekua dume sirudiii !!Kwa Kilewo kashindwa asee.....na asipojirudi atapata kichaa soon!
Moza ni kisu balaa halafu ana mkwanja, na anamkubali jamaa kusalimia tu anapiga goti , mtoto heshima debe,sasa jamaa ataanzaje kurudi kwa Joy kimfano yaani?
Hahahahaaa kweli ndoa haina chuo hawa watetea haki ukiwafata kwa matatizo yako ya ndoa wanakwambia omba talaka wao bado wanapambana na waume zao 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Wajuaji wenzie ndio wanamuelewa.Wachache sana wanaomwelewa Joyce kiria
Naonaga huko kwenye groups za wanawake!!Umewahi kuwafuata?!
Kilewo (si Kileo) ni MPARE mkuu. Next time Acha kufananisha wachaga na vitu vya kipuuziAcha zako, hatuna wapare wapuuzi mkuu! Kilewo ni mchaga
Wapare popular ni hawa: Vanessa Mdee, Joh Makini, Nikki wa Pilli, MIMI Mars, Jeff wa Speshoz, Ngozi TZ, Mr, Beneficial, Mmiliki Ki2ko clothing line, Halima Mdee and the list goes on,
LabdaWajuaji wenzie ndio wanamuelewa.
Hawez kuwa mpare yule trust me!Kilewo (si Kileo) ni MPARE mkuu. Next time Acha kufananisha wachaga na vitu vya kipuuzi
Kilewo (si Kileo) ni MPARE mkuu. Next time Acha kufananisha wachaga na vitu vya kipuuzi
amemfanyia shambulio la aibu mtandaoni.Ikifikia kuweka siri za nyumbani mtandaoni,ujue huyo mmama hana busara,hili nalo ni kosa sio kutuma picha za utupu tuu,mambo ya family yamalizwe kifamily,,,,TCRA this is not fair kosa la uzalilishaji,uyo mama awajibishwe
Naonaga huko kwenye groups za wanawake!!
Ule mgogoro wa rahaaa bwana!! UnavumilikaaaYako haina misukosuko zaidi ya uleeeee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ule mgogoro wa rahaaa bwana!! Unavumilikaaa