mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 7,922
- 3,618
HAYA TUMEKUPATA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umenifurahisha sana hapo kwenye changamoto ya matusi na mipashoHalafu wanajiita chama cha demokrasia! Demokrasia ndio hii? Huyu mama anapewa ubunge kwa ajili ya maslahi bibafsi tu, hana mchango wowote kwa bunge na chama. Bora hata Mdee huleta changamoto ya matusi na mipasho.
Hamna facts hapo,wote mnajadili watu binafsi na maisha yao,mngejikita katika kujadili ISSUES zenye maslahi kwa Taifa,mleta huu uzi hawezi kujitofautisha na huyu unayejaribu kumkana hapa,kwani bora yeye amejipambanua eneo lake(kuchambana/kusutana)!nadhani kwy hii forum na zijadiliwe issuez zenye maslahi mapana kwa taifa letu,badala ya kujadili kiongozi fulani anatembea na mwanamke fulani and bluh bluh bluh!Mkuu hapa tunaongea kwa facts, mambo ya Mange yaache huko huko instagram.
Na Kunti Majala wa nani maana naona orodha yote unayo?CHADEMA wao wanagawa ubunge viti maalum kwa upendeleo, hebu angalia hapa
Joyce Mukya - Demu wa Mbowe
Anatropia - Demu wa John Mrema
Sabrina Sungura - Mchumba/ Kimada wa Anthony Komu
Zainab Bakar mtoto wa dada yake Said Mohammed Issa (Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa Zanzibar)
Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
Ruth Molel - Kijana wa Lowassa
Grace Sintato Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo
** Mama Regina Lowassa alipewa ubunge akawachomolea.
List ni ndefu sana
Sijamuonea wivu, nimekosoa mfumo unaotumika kumlinda huyu mwanamama.Unamwonea wivu?
CHADEMA wao wanagawa ubunge viti maalum kwa upendeleo, hebu angalia hapa
Joyce Mukya - Demu wa Mbowe
Anatropia - Demu wa John Mrema
Sabrina Sungura - Mchumba/ Kimada wa Anthony Komu
Zainab Bakar mtoto wa dada yake Said Mohammed Issa (Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa Zanzibar)
Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
Ruth Molel - Kijana wa Lowassa
Grace Sintato Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo
** Mama Regina Lowassa alipewa ubunge akawachomolea.
List ni ndefu sana
Fully nonsenseHalafu wanajiita chama cha demokrasia! Demokrasia ndio hii? Huyu mama anapewa ubunge kwa ajili ya maslahi bibafsi tu, hana mchango wowote kwa bunge na chama. Bora hata Mdee huleta changamoto ya matusi na mipasho.
We utakuwa mgeni wa mambo, unadhani kwanini Rais anashambuliwa juu ya teuzi za kikanda. Unajua kuna athari gani kunapokuwa na nepotism!!Hamna facts hapo,wote mnajadili watu binafsi na maisha yao,mngejikita katika kujadili ISSUES zenye maslahi kwa Taifa,mleta huu uzi hawezi kujitofautisha na huyu unayejaribu kumkana hapa,kwani bora yeye amejipambanua eneo lake(kuchambana/kusutana)!nadhani kwy hii forum na zijadiliwe issuez zenye maslahi mapana kwa taifa letu,badala ya kujadili kiongozi fulani anatembea na mwanamke fulani and bluh bluh bluh!
A simple mind ....Habari wakuu,
Tokea nimeanza kufuatilia Siasa nimekuwa nikimsikia Joyce Mukya. Nimemsikia kwa mengi kuanzia bungeni akitajwa na mpaka uraiani, bahati mbaya au nzuri sijawahi kumuona sehemu yoyote hata bungeni.
Nasikia ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA kwa zaidi ya miaka 10. Sijawahi kumuona/kumsikia akichangia hoja yoyote bungeni, Sijawahi kumuona akijenga chama kwa namna yoyote tofauti na wabunge wengine wanawake wa chadema na wanachama wengine wanawake, kifupi sio mbunge active.
Kama hafanyi haya yote amewezaje kupeta na kuwa mbunge huku wanachama wengine active ambao wanakipigania chama wakiachwa solemba kwenye ubunge na sehemu nyeti chamani.
Juzi nikamsikiliza Jerry Muro ndio nikagundua kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na ni mama wa watoto wa Mwenyekiti Mbowe.
Katika fukunyua fukunyua ndio nikakutana na habari mbalimbali zinazohusu huyu mama na Mbowe nikakutana hizi baadhi na zenye ushahidi usioacha shaka...
1. Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Hilal Aeshi katika vita ya kimapenzi wakimgombania Mhe. Joyce Mukya
2. Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara
3. Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa
Nikasema sawa, anapewa ubunge kwasababu ni mzazi mwenza wa Mwenyekiti wa chama, ila mbona hata waliopendelewa kwa kupewa ubunge wa vitu maalum kutokana na uhusiano wa kindugu au kingono na viongozi waandamizi wa CHADEMA wako active kwenye siasa za nchi, kulikoni huyu Joyce Mukya!?
Chama kinachojinasibu kuwa chama kikuu cha upinzani ni wakati sasa kuachana na kasumba yao ya upendeleo wa kugawa vyeo kwa undugu,kingono na kikanda. Wabadilishe mfumo wao wa uteuzi ili waweze kuwapa nafasi wengine wanaokipigania chama.
Asanteni sana.
Halafu wanajiita chama cha demokrasia! Demokrasia ndio hii? Huyu mama anapewa ubunge kwa ajili ya maslahi bibafsi tu, hana mchango wowote kwa bunge na chama. Bora hata Mdee huleta changamoto ya matusi na mipasho.
Huu ni umbea. Weka ushahidi wa ulichokinadi hapa.
yao kimyaaa aanze na kwake basiWatu bwana kuchunguza ya wenzao
Ni aibu kubwa Mange kuwa chanzo cha habari zako (Angela, Ummy, Mhagama)Bila kuwasahau hawa
Anjela Kairuki .....
Ummy Mwalimu.....
Jenista Mhagama.....
Juliana Shonza .......
Mama Salma ..
Vicky Kawawa ...
Halima Bulembo ....
Wengine nimewasahau uhusika wao utajaza mwenyewe
Lahaula!!!Nampongeza sana Waziri Kairuki kua Waziri wa kwanza wa Madini Mwanamke. Namkubali pia Waziri wa Afya ni jembe.