YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
cha muhimu tuwaombee kwa Mungu hao uliowataja kuwa ni mahawara wa nani sijui Kama wamepata ukimw kupitia hao waliowapa favor kwa kutafuta ubunge viti maalumu Mungu awape nguvu ya kuishi kwa matumaini .CHADEMA wao wanagawa ubunge viti maalum kwa upendeleo, hebu angalia hapa
Joyce Mukya - Demu wa Mbowe
Anatropia - Demu wa John Mrema
Sabrina Sungura - Mchumba/ Kimada wa Anthony Komu
Zainab Bakar mtoto wa dada yake Said Mohammed Issa (Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa Zanzibar)
Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
Ruth Molel - Kijana wa Lowassa
Grace Sintato Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo
** Mama Regina Lowassa alipewa ubunge akawachomolea.
List ni ndefu sana