YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Wote mliodhulimiwa haki yenu Mungu yupo yawezekana machozi yenu ndio yalifanya chadema isishinde uraisi uchaguzi uliopita. Sababu walipora haki ya mnyonge anayestahili ili wawape wasio na sifa. Mwachieni Mungu anajua cha kuwafanyia waliodhulumu haki za wengine atawashughulikia WaoKuna wakati naona ccm ina unafuuu kuliko chadema..! Zimwi likujualo chadema bhana nyie hamuaminiki mnajua..