Joyce Mukya ni nani? Pamoja na kutokuwa active kwenye Siasa bado anapeta ubunge CHADEMA zaidi ya miaka 10

Halafu wanajiita chama cha demokrasia! Demokrasia ndio hii? Huyu mama anapewa ubunge kwa ajili ya maslahi bibafsi tu, hana mchango wowote kwa bunge na chama. Bora hata Mdee huleta changamoto ya matusi na mipasho.
Mkuu umenifurahisha sana hapo kwenye changamoto ya matusi na mipasho
 
Mkuu hapa tunaongea kwa facts, mambo ya Mange yaache huko huko instagram.
Hamna facts hapo,wote mnajadili watu binafsi na maisha yao,mngejikita katika kujadili ISSUES zenye maslahi kwa Taifa,mleta huu uzi hawezi kujitofautisha na huyu unayejaribu kumkana hapa,kwani bora yeye amejipambanua eneo lake(kuchambana/kusutana)!nadhani kwy hii forum na zijadiliwe issuez zenye maslahi mapana kwa taifa letu,badala ya kujadili kiongozi fulani anatembea na mwanamke fulani and bluh bluh bluh!
 
Na Kunti Majala wa nani maana naona orodha yote unayo?
 
Bila kuwasahau hawa

Anjela Kairuki .....

Ummy Mwalimu.....

Jenista Mhagama.....

Juliana Shonza .......

Mama Salma ..

Vicky Kawawa ...

Halima Bulembo ....

Wengine nimewasahau uhusika wao utajaza mwenyewe
 
Halafu wanajiita chama cha demokrasia! Demokrasia ndio hii? Huyu mama anapewa ubunge kwa ajili ya maslahi bibafsi tu, hana mchango wowote kwa bunge na chama. Bora hata Mdee huleta changamoto ya matusi na mipasho.
Fully nonsense
 
We utakuwa mgeni wa mambo, unadhani kwanini Rais anashambuliwa juu ya teuzi za kikanda. Unajua kuna athari gani kunapokuwa na nepotism!!
 
Kama Anna Abdalla? Huko ccm wapo wengi wengi wengi sana!
 
A simple mind ....
 
Hamna cha uzalendo wala nini, wote hujifanya wakereketwa ili wapate tu ulaji,nilishawahi kujitolea kwenye chama fulani, yaani wao kazi yao ni kulipana tu posho za vikao hewa, halafu wavunjivu wakubwa wa taratibu za fedha tofauti na wanavyojinadi bungeni na majukwaani, yaani wanafiki sana,
 
Halafu wanajiita chama cha demokrasia! Demokrasia ndio hii? Huyu mama anapewa ubunge kwa ajili ya maslahi bibafsi tu, hana mchango wowote kwa bunge na chama. Bora hata Mdee huleta changamoto ya matusi na mipasho.

Nampongeza sana Waziri Kairuki kua Waziri wa kwanza wa Madini Mwanamke. Namkubali pia Waziri wa Afya ni jembe. By fabulous
 
Bila kuwasahau hawa

Anjela Kairuki .....

Ummy Mwalimu.....

Jenista Mhagama.....

Juliana Shonza .......

Mama Salma ..

Vicky Kawawa ...

Halima Bulembo ....

Wengine nimewasahau uhusika wao utajaza mwenyewe
Ni aibu kubwa Mange kuwa chanzo cha habari zako (Angela, Ummy, Mhagama)
Shonza liko wazi ni mpiganaji ndo kumemfikisha hapo
Mama Salma - Nafasi 10 za Rais, hata Mbatia aliwahi kuteuliwa hapa.
Vicky Kawawa - Hakuna mbunge wa hivi
Halima Bulembo - Kagombea uwakilishi vijana Bukoba na kashinda.
 
MKIMALIZA KUWATAJA WA CDM TAJENI WA CCM.

MIMI NAANZA NA

1. Halima bulembo (mtoto wa alyekuwa mwenyekiti wazazi-CCM na meneja kampeni wa JPM)
2.
3.
4.
 
Wapo wengi tu, ukitaka kuwajua subiri wakati wa kampeni wanavyogombana kuongozana nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…