Joyce Mukya ni nani? Pamoja na kutokuwa active kwenye Siasa bado anapeta ubunge CHADEMA zaidi ya miaka 10

Hivi akiruka ni Waziri wa nini jamani?
 
Subiri kidogo. Hivi na wewe ulienda UK kusoma na Mhe Nassari? Mbona kinasa sauti chako ni bora zaidi
 
Halafu hawa ndio tuwape kuongoza nchi it will be big mistake
 
Nasikia ana mashine bomba huyu mh mbunge Da Joy, hata ungekuwa wewe ungehamia mgodini moja kwa moja
 
Hivi huyu m/kiti huwa ana mke? Kwani hajawahi kuonekana hadharani akiwa na mke wake kama wanavyofanya viongozi wengine. Kama hana mke basi tusimlaumu bure, sana sana tumshauri ahalalishe ndoa yake na huyo mzazi mwenzake. Kama ana mke basi hatua kali za kimaadili na za kiroho zichukuliwe dhidi yake ili aachane na tabia hii chafu ya kifataki ambayo inaitia aibu familia yake na chama chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…