Atashinda na NjaaaNa Lissu akishinda?...
Natamani hawa wachambuzi waniambie, huu uhakika wa CCM kushinda unatoka wapi, na kama wana uhakika kweli hizi faulo za nini......rejea uonevu wa wazi wanaofanyiwa wapinzani, tuangalie yanayotokea Zanzibar wakati huu......Mkuu Pasco, msaada tafadhali........au nyie haya hamuyaoni?
Hata kama wananchi hawaitaki hiyo dola?Ushauri mzuri sana umetolewa. TL aache kuwa mwanaharakati ili aaminiwe. Kumbuka dola haipewi kwa kila mtu kienyeji tu.
Kwa NEC hii hii ya Dr. Mahera?Magu hashindi uchaguzi huu, tunaenda second round ndio atashindwa kabisa
Hahahaaa, jisemee wewe mkuuJPM kashakataliwa na watanzania, unaishi nchi gani wewe?
Jisemee weweMagufuli arashinda kwa vigezo gani wakati watanzania wengi tumemkataa hakika??
Labda mashoga wengi ndo wanamkataa JPMMagufuli arashinda kwa vigezo gani wakati watanzania wengi tumemkataa hakika??
Hata kama wananchi hawaitaki hiyo dola?
Hawezi kushinda!.Na Lissu akishinda?...
Hawezi kushinda!.
P