JPM, CCM wakishinda, Freeman Aikaeli Mbowe ni lazima ajiuzulu, amwachie Tundu Lissu. Lissu aache Uanaharakati, aonyeshe Statesmanship

JPM Hawezi kushindwa!.
P
Hawezi kushindwa au hawezi kuachwa kutangazwa mshindi? Magufuli hana sifa ya kushinda kwa njia ya kura, na hii ni toka akiwa mbunge. Na hata huu uhayawani wa kupita bila kupingwa, sheria hii imefanya kazi sana chini yake kuliko awamu zote.

Iwe iwavyo, Magufuli ashinde kihalali au kupitia madaraka yake, uchaguzi huu umedhihirisha enzi za ccm kuendelea kuwa chama pekee chenye nguvu kwa uhalali wa umma zimekwisha. Na hata hizi nguvu zinazotumika sasa na kunajisi uchaguzi, ni kwasababu ccm imeshindwa kusoma alama za nyakati kuwa wakati ukuta. Mwanamke hata awe mrembo vipi, akishazeeka na kuanza kujipaka vipodozi hawezi kuvutia, sana sana atatumia hela na ushirikina kuvutia vijana. The same applies to ccm.
 
Nyie mnajitoa akili. Nchi hii kuna kitu kama "qualifications" za kuwa Rais?

Zingekuwepo Magufuli asingekua Rais. Tanzania, mtu yoyote anaweza kuwa Rais.

Mwisho, mnafanya "uchambuzi" bila kuongelea lolote juu ya process nzima ya uchaguzi ilivyo na matatizo mengi na kupendelea chama kimoja.

Mnajiabisha sana.
 

Bila katiba mpya hata aje malaika, hakuna cha kujenga hapo
 
Sitampigia kura yangu mgombea yeyote mwenye mikono yenye hatia ya damu za watu. Mshaanza kumwaga damu za wapemba Kwa risasi toka jana usiku. Pascal unanuka damu za watu Kwa kusapoti wauwaji.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Wewe na huyo bendera hufuata upepo Mzee Mwanakijiji wote ni waganga njaa na WAPUUZI wote. Mauaji yanatokea nchini ya Watanzania ambao hawana hatia yoyote ile na nyie MAZWAZWA hamsemi lolote lile bali cha maana mnachokiona wachumia tumbo nyinyi na wasaka teuzi ni kushinikiza Mbowe ajiuzulu!!!!
 
Hawezi kuyasema hayo mauwaji maana paskali yeye ni sehemu ya wanayasapoti wauwaji. jamaa ni mpuuzi sana.huyu hata akitumwa kuuwa anauwa.
 
Hivi kama una maono kiasi hiki ya siasa, ulipataje kura moja kwenye kura za maoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…