Juhudi kubwa zinafanywa kumgombanisha Lissu na Mbowe. Hamtafanikiwa. Ukweli hi huu

Juhudi kubwa zinafanywa kumgombanisha Lissu na Mbowe. Hamtafanikiwa. Ukweli hi huu

Wengi wanaleta uchonganishi wa kingese sana ambao hata mtoto mdogo anajua kuwa huu ni uongo.
Nawaomba wale ambao hawana kazi za kufanya mvua zinanyesha wachague moja kwenda shambani kulima na kupanda au wabaki ndani mwao wakinyanduana baada ya miezi 3 watapata matunda ya kazi zao kuliko kuleta propaganda za kindezi hazitawasaidia kitu.
 
Sioni sababu ya kuukimbia ukweli, huko kutakuwa ni kujidanganya, kuipenda Chadema kusiwafanye muogope kuambizana ukweli.

Lissu amezungumza hayo maneno wazi na hata ushahidi wa video upo, hizo sio propaganda ni reality, msiuogope ukweli ni vyema kuutazama vizuri ili mjue namna ya kuukabili.
 
Hebu weka ushahidi ni kwa vipi Lisu amegombanishwa na mbowe?

Wale watagombana kwa sababu ya kugombea mabuyu ya asali! Wala hakuna mtu ana haja na hayo makopo yenu ambayo tayari Samia ameshayaweka kwenye himaya yake.
 
Lisu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.
Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
kama mambo ni shwari si mtulie...
 
Lisu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.
Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
Said Kubenea aliyekuwa mbunge wa Ubungo kupitia Chadema na sasa mwanachama wa ACT Wazalendo ndiye anaongoza mpambano huu kupitia gazeti lake la Raia Mwema. Gazeti la Raia Mwema wakati likimilikwa na Jenarali Ulimwengu lilikuwa moja.ya magazeti machache yaliyokuwa yanaheshimiwa,lakini tangu Kubenea alinunue limekosa weledi halina tofauti na Tanzanite la cyprian musiba.
 
A very good observation
 
Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.

Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
Umeamua kuwachana wachawi😅😅
 
Back
Top Bottom