Juhudi kubwa zinafanywa kumgombanisha Lissu na Mbowe. Hamtafanikiwa. Ukweli hi huu

Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.

Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
Nimefurahi, katika uzi mmoja humu unaitwa DARK DAYS, scene hii imetajwa mahali.
 
Kujaribu kuchonganisha watu wazima wenye akili zao kwa story toka kwa watu upande wa pili inakubidi uwe punguani. Sidhani kama watafanikiwa bora watafute shughuli nyingine kabla hajaumbuliwa.
 
Sugu na wengine wanaoongelea kugombea na hawaweki mkazo kudai na kuhamasisha Katiba mpya ni wapuuzi.

Anaongelea kugombea ubunge bila kujua Sanduku la kura limeibwa.

KATIBA mpya kwanza, ubunge BAADAYE.
Hakuna Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu wa 2025. Hapa ni kudai kwanza tume mpya na maboresho ya katiba ya sasa.
 
Tume mpya isiyo na uwezo wa kuhoji matokeo ya Urais mahakamani au isiyoweza kuondoa Kinga ya Rais kutoshtakiwa mahakamani ni useless.

Tunahitaji kutafuta mzizi wa tatizo letu nchini hivyo uchaguzi wowote bila KATIBA mpya ni Bure.

No Katiba mpya no uchaguzi.

No Tume HURU ya UCHAGUZI no uchaguzi.

Rasimu ya Warioba IPO, ni maboresho kdg tu yanahitajika.
 
Wenzako wanataka Nusu Mkate Katiba mpya itawachelewesha!
 
Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.

Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
Hakuna mtu yoyote duniani, au binadamu yoyote yupo kwasababu ya mtu mwingine yeyote au kwasababu ya binadamu mwingine yeyote!. Lissu yupo kwasababu ya aliyemuumba tuu na sio kwasababu ya mtu mwingine yeyote!.

Hili niliwahi hata kumshauri Lissu mwenyewe Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home! no matter binadamu wamemsaidia Lissu kwa kiasi, uwepo wa Lissu, sio hao binadamu bali ni kwa neema tuu kutoka kwake YEYE aliye Juu!.
P
 
UTOPIA.....
 
Back
Top Bottom