Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Eti bwana maneno tu??Hao ni watu wa Magufuli. Alishindwa Magu akitumia mkono wa chuma zitaweza fitna?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti bwana maneno tu??Hao ni watu wa Magufuli. Alishindwa Magu akitumia mkono wa chuma zitaweza fitna?
Stroke unamuona huyu anaandika upuuzi mtupu. Retired Msikilize Lissu hapa chini na unyamaze milele. Au utasema sauti si yakeLissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.
Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
Retired keshagonga mbege mida hiiStroke unamuona huyu anaandika upuuzi mtupu. Retired Msikilize Lissu hapa chini na unyamaze milele. Au utasema sauti si yake
View attachment 2616459
Kwa kuongezea ni kwamba kila anachokisema Lissu ni cha ChademaLissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.
Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
Naunga mkono kwa sasa bila Lisu Hakuna Chadema!Kwa kuongezea ni kwamba kila anachokisema Lissu ni cha Chadema
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Anabakia kucheua tu hapo alipo.Retired keshagonga mbege mida hii
Sugu na wengine wanaoongelea kugombea na hawaweki mkazo kudai na kuhamasisha Katiba mpya ni wapuuzi.Stroke unamuona huyu anaandika upuuzi mtupu. Retired Msikilize Lissu hapa chini na unyamaze milele. Au utasema sauti si yake
View attachment 2616459
Amina!Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.
Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
Lissu ni Neutralizer kuna wakatiLissu kayaongea maneno kuwa wanaitwa chemba ili wahongwe majimbo ya uchaguzi.
Sote uridhimmesikia usatudanganye ndugu mfia chama cha walamba asali.
Huo ndio ukweliKwa kuongezea ni kwamba kila anachokisema Lissu ni cha Chadema
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Hata kama utakuwa huna uelewa, hata masikio hayafanyi kazi? Ni tatizo tu kusikia au na akili pia?Wanagombanishwa na Nani?
Lissu kwa mdomo wake amesema mwenyekiti hana akili kukubali ubunge wa kupewa
Ukiona Lisu anaongea jambo ujue wamekubaliana kwenye uongozi wa juu wa chama.Lissu kayaongea maneno kuwa wanaitwa chemba ili wahongwe majimbo ya uchaguzi.
Sote tumesikia usitudanganye ndugu mfia chama cha walamba asali.
Mboba Lisu ameongea vema? Au kuna lolote umeliona siyo sahihi?Stroke unamuona huyu anaandika upuuzi mtupu. Retired Msikilize Lissu hapa chini na unyamaze milele. Au utasema sauti si yake
View attachment 2616459
SahihiJambo lililo jema, wote wawili, Mbowe na Lisu ni watu wenye uelewa mkubwa, wanaoyaona mambo kabla hayajatokea.
Hao wajinga, hayo wanayoyafanya, hawa watu wawili tayari wamekuwa wanayategemea. Hivyo hakuna chochote cha kuwatikisa. Wajinga wanaoona wanafabya kazi kubwa, kumbe wanapoteza muda wao.
Kwa hiyo unataka kuhalalisha lisu aishi kwa kumtumikia mbowe, maisha yake yote ,iwe Kama fidia ya kulipa fadhira!!!Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.
Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round[emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]Lissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.
Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba
Nilipomsikia Dr Mwigullu PhD akitamba Kanisani mbele ya baba askofu Dr Shoo kwamba amemrudisha nyumbani shemeji yake Godbless Lema nikajua Tundu Lisu ndio basi tena!Jambo lililo jema, wote wawili, Mbowe na Lisu ni watu wenye uelewa mkubwa, wanaoyaona mambo kabla hayajatokea.
Hao wajinga, hayo wanayoyafanya, hawa watu wawili tayari wamekuwa wanayategemea. Hivyo hakuna chochote cha kuwatikisa. Wajinga wanaoona wanafabya kazi kubwa, kumbe wanapoteza muda wao.
CCM Wana vijana Wapumbavu sana sanaLissu yupo kwa vile Mbowe yupo and not the other way round! Kama si Mbowe kutokewa na Mungu kuwa msiende Muhimbili, Lisu ingelikuwa historia. Hivyo Lisu is because Mbowe was.
Hivyo ujinga wenu utagonga mwamba