Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!!
Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani.
Nafikiri tuchukue hatua zaidi ya kuwadokezea Al Hilal au CAF inakuwa vizuri ili hii tabia ya kihuni kwenye michezo ikomeshwe kwa adhabu kali sana.
Nimekua natafakati msemo wa ali kamwe eti mchezaji akitoka Simba ata kama ameshuka kiwango Simba wakamfukuza, anakuja kuwa mpya yanga...kwenye hii kauli kuna uhusiano mkubwa na haya madawa.