Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
🚮Hapo vip!!
Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani.
Nafikiri tulichukua hatua zaidi ya kuwadokezea Al Hilal au CAF inakuwa vizuri ili hii tabia ya kihuni kwenye michezo ikomeshwe kwa adhabu kali sana.
Nimekua natafakati msemo wa ali kamwe eti mchezaji akitoka Simba ata kama ameshuka kiwango Simba wakamfukuza, anakuja kuwa mpya yanga...kwenye hii kauli kuna uhusiano mkubwa na haya madawa.
My wetu Kaja ghetoFanyeni mambo mengine khaaa! YANGA YANGA
hamna timu zingine?
Kujidunga sindano na kuwanga uchi wewe unaona ni kitu cha kawaida?Fanyeni mambo mengine khaaa! YANGA YANGA
hamna timu zingine?
Huko kwenu hawawangi uchi? Hamdungwi sindano?Kujidunga sindano na kuwanga uchi wewe unaona ni kitu cha kawaida?
au hawaUsisahau kuwambia na kuhusu wale wanaomwaga madawa uwanjani na vyumbani na kutembea kinyumenyume kwenda uwanjani
Nakazia hapa, nakumbuka HILAL alipack basi akiwa kwake..Al hilal na Ibenge Walisha cheza na Yanga hapo kabla na Baada ya mechi ya pili kule Sudani Japo Yanga ilipoteza ila Yanga ilicheza mpira mkubwa Sana wa kushanbulia.
Kocha Ibenge baada ya mechi alisema, Yanga mmecheza mpira mkubwa na japo hamkupata Matokeo Leo ila uko mnapo elekea mtafika mbali kwakua mna cheza vizuri na mpo fair.
Kweli Yanga ilifikia hatua Ya fainali kwenye shirikisho na nakumbuka Baada ya kwisha mechi Ile wakati wachezaji wa Yanga wakitoka uwanjani kule Sudani Kuna video zilionyesha mashabiki wa Al hilal wakipiga makofi kuonyesha ku ukubali mziki wa Yanga.
Nawakumbusha mbumbumbu fc hakuna timu iliyokuja kucheza na Yanga na kulalamika vitendo vya hujuma/hovyo kufanyiwa na timu mwenyeji kama inavyo lala mikiwa Simba kw miaka mingi.
Simba ndio timu iliyo lalamikiwa kule CAF na vilabu vingi vinavyo kuja kucheza kwa Mkapa kwa mambo ya hovyo ya kishirikina na maamuzi tata uwanjani.
Kuna timu kutoka Nigeria ilitufunga ndani na nje,sijui inaitwaje ile... ila tuliwafanyia hujuma na bado tukafungwa.Al hilal na Ibenge Walisha cheza na Yanga hapo kabla na Baada ya mechi ya pili kule Sudani Japo Yanga ilipoteza ila Yanga ilicheza mpira mkubwa Sana wa kushanbulia.
Kocha Ibenge baada ya mechi alisema, Yanga mmecheza mpira mkubwa na japo hamkupata Matokeo Leo ila uko mnapo elekea mtafika mbali kwakua mna cheza vizuri na mpo fair.
Kweli Yanga ilifikia hatua Ya fainali kwenye shirikisho na nakumbuka Baada ya kwisha mechi Ile wakati wachezaji wa Yanga wakitoka uwanjani kule Sudani Kuna video zilionyesha mashabiki wa Al hilal wakipiga makofi kuonyesha ku ukubali mziki wa Yanga.
Nawakumbusha mbumbumbu fc hakuna timu iliyokuja kucheza na Yanga na kulalamika vitendo vya hujuma/hovyo kufanyiwa na timu mwenyeji kama inavyo lala mikiwa Simba kw miaka mingi.
Simba ndio timu iliyo lalamikiwa kule CAF na vilabu vingi vinavyo kuja kucheza kwa Mkapa kwa mambo ya hovyo ya kishirikina na maamuzi tata uwanjani.
Mnaigopa sana Yanga. Timu zina madaktari. Issue ya kuchoma sindano hakuna team duniani Daktari wa wachezaji anakuwa hana sindano kama sehemu ya huduma ya kwanza endapo tatizo likitokea uwanjani.Hapo vip!!
Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani.
Nafikiri tuchukue hatua zaidi ya kuwadokezea Al Hilal au CAF inakuwa vizuri ili hii tabia ya kihuni kwenye michezo ikomeshwe kwa adhabu kali sana.
Nimekua natafakati msemo wa ali kamwe eti mchezaji akitoka Simba ata kama ameshuka kiwango Simba wakamfukuza, anakuja kuwa mpya yanga...kwenye hii kauli kuna uhusiano mkubwa na haya madawa.
mbumbumbu always ni mbumbumbu komaeni na huu upepo mwisho wa msimu mtasema GSM ananunua mechiHapo vip!!
Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani.
Nafikiri tuchukue hatua zaidi ya kuwadokezea Al Hilal au CAF inakuwa vizuri ili hii tabia ya kihuni kwenye michezo ikomeshwe kwa adhabu kali sana.
Nimekua natafakati msemo wa ali kamwe eti mchezaji akitoka Simba ata kama ameshuka kiwango Simba wakamfukuza, anakuja kuwa mpya yanga...kwenye hii kauli kuna uhusiano mkubwa na haya madawa.
Msimu jana 5imba imetumia viwanja vingapi?utopolo ndo timu ya kwanza duniani.
Au tangu dunia iumbwe.yaani timu ikifungwa inahama uwanja .haijawahi kutokea.mnatakiwa muingie kwenye rekodi za Guinness
au hawa
View attachment 3151760Naaaam hizo mtu hazifai kaka