Juhudi zifanyike wapenyezewe Al Hilal au CAF hii issue ya madawa (Sindano za kuongeza nguvu)

Moja ya sifa za mbumbumbu ni ukosefu wa kumbu kumbu
 
Wale waliohama uwanja wa uhuru wakaenda ccm kirumba
Halafu wakaenda Azam
Halafu wakatapatapa mpaka uwanja wa jamhuri walikua kina Nani tena
Walikuwa wamefungwa mechi ngapi mfululizo?
 
Ile video ya masindano iweke hapa
 
Kipindi kile sisi mashabiki wa Yanga tulikuja na wimbo Simba mnawapulizia spray wapinzani wenu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Kuja kushtuka mkachukua ubingwa mara nne mfululizo.

Hizi propaganda hazitawafikisha popote. Kila siku Yanga anazidi kutanua gepu la ubora kati yake na Simba. Msipojitathimini hii Yanga itawaacha mbali sana.
 
Yanga ipi?? Hii ya akina aziz ki wanaovuta shisha na malaya kwenye mabaa huko au yanga ipi wanaojidunga sindano na kutumia uchawi ..mechi 2 tu mnahama uwanja sbaabu mnakwepa ccctv kamera..bladfaken mnaenda kuzikuta huko kmc manina. Hakuna timu ya kuiacha simba mbali tusidanganyane hapa kama watoto bumbavu
 
Muda utaongea.
 
Muda utaongea.
 
KWANINI USIWAPENYEZEE WEWE HAO AL HILAL MPK UTAFUTE KUNDI LA WATU KUFANYA HIVYO
 
Yanga ndio timu pekee iliyowakilisha Tanzania Kiongozi wake Katibu Mkuu Issa Makongoro akifungiwa maisha kwa kujaribu kuwahonga waamuzi kutoka Ethiopia kwenye mashindano ya Klabu bingwa ya Afrika.Walikuwa wanacheza na Gor Mahia ya Kenya.
Upuuzi huu walianza zamani.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
 
Sisi ndiyo Yanga SC AKA

Manyani na Mammbwa SC
Sindano dawa za kuongeza nguvu SC
Jini Maimuna SC
Hamisa Mobeto Buzi la Aziz Ki SC
Mihadarati SC
Wavuta Shisha SC
Nyuki Asali SC
Mpumelelo pumuuuuu SC
Wachawi SC
Watembea uchi usiku kwenye viwanja SC
Wacheza Vigodoro SC.
Wagombaniwa na maraya SC
Kimoko cha chamazi SC
Wakimbizi kwenye viwanja vya watu SC
CCTV CAMERA SC
Uto de Supu la Ngo'mbe SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…