Ni lipi jukwaa ambalo limekupa somo au shule ya maana, ushauri, maarifa, ufahamu na uelewa kutosha au kukukwamua juu ya masuala mbalimbali ya maisha, kisiasa, kiuchumi, kijamii, kitaifa na kimataifa?
1. Entertainment- hili lilinifanya nijiunge jf
2. Habari na hoja mchanganyiko- kuna mishe zinazovutia
3. Jukwaa la Siasa - kuna mpendwa wangu Lucas huwa naenda kumchungulia
Nilipoona hii post nimekumbuka ushauri alionipa babu kwenye harusi ya mjomba wangu tukiwa tumekaa karibu na bendi ya muziki. Muziki ulikuwa mkubwa sana hadi sikuweza kusikia alichokisema🤣🤣🤣