Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
ephen_ plz plz make sure you take part and kwakweli be responsible, ili hatimae our very able comrade Lucas Mwashambwa aweza kutekeleza majukumu yake mazito na muhimu sana kwa chama na serikali, effectively and with efficiency 🐒Nalipenda sana jukwaa la siasa na ndio muda wote nashinda huko .
Lakini jukwaa la Habari na hoja mchanganyiko nimetokea kulipa heshima yake na kulipenda maana ndiko niliko mkuta na kunikutanisha na Binti ephen Mwanajeshi wa akiba aliyeuteka moyo wangu wote na kuunasa kama Sumaku.
ephen ephen popote ulipo wewe ndiye umenifanya nilipe heshima yake na kulipenda jukwaa la habari na hoja mchanganyiko.