Jukwaa gani ni pendwa kwako ndani ya JamiiForums?

ephen_ plz plz make sure you take part and kwakweli be responsible, ili hatimae our very able comrade Lucas Mwashambwa aweza kutekeleza majukumu yake mazito na muhimu sana kwa chama na serikali, effectively and with efficiency πŸ’
 
😍
 
Lucas yupo kwenye mikono Salama..!
Yes,
that is it πŸ‘ŠπŸ’ͺ
coz, behind a successful and able gentleman there must be a beautiful lady with brain....

thank you very much for positioning yourself beside a very active comrade Lucas Mwashambwa and a responsible lady ...

for that one,
every one of us, must apriciate and congratulate your commitments πŸ’
 
Mkuu! Mbona kama unatufungisha ndoa sasa? Lucas wangu ni team kataa ndoa
Mimi na yeye kuna angle tunaelewana
 
Jukwaa la JF Intelligence ndio lilinifanya nijiunge JF.
Jukwaa hilo limenifanya niwe hivi nilivyo leo, na kama mbeleni nitakua zaidi ya hivi nilivyo basi ni kwa ajili ya jukwaa hili.
Lina mchango mkubwa maishani mwangu. Ila kwasasa lishakufa
 
Jukwaa la JF Intelligence ndio lilinifanya nijiunge JF.
Jukwaa hilo limenifanya niwe hivi nilivyo leo, na kama mbeleni nitakua zaidi ya hivi nilivyo basi ni kwa ajili ya jukwaa hili.
Lina mchango mkubwa maishani mwangu. Ila kwasasa lishakufa
Yes,

For sure jukwaa za JF somebody akiconcentrate seriously, kuna mambo muhimu mno anaweza jifunza akaongeza uelewa na ufahamu wake mara dufu.

Lakini pia akachota maarifa na ushauri unaoweza ama kumuepusha na uamuzi wake fulani au ukamsaidia kujikwamua na kujiendeleza katika Jambo fulani....

Big up sana gentleman...

Thank you JF team 🌹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…