xz0r_africa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 316
- 314
Nasubiri media fulani zife kabisa yale majengo yao nikafugie huko kuku wa nyama coz nowadays ni blaablaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Media zinakufa sababu ya technology
Mtasingizia kila kitu
Uchawi ni internet tu
Hata Mimi na kataa maoni yao,wamejichimbia makaburi yao wao wenyewe kwa mkondo wa utoaji habari waliouchagua.Wajiandae na maziko ya vyombo vingine vingi vya habari kama hawatafanya tathimini ya kweli na kujirekebisha.Jukwaa la habari na wachambuzi mbalimbali wanadai kukosekana kwa wateja kwenye vyombo vya habari kumeletwa na teknolojia ya mitandao!
Wanadai kwamba Siku hizi watu wengi wanapata taarifa mitandaoni hivyo ndiyo maana hawanunui magazeti au kuangalia TV.
Madai kama haya hayaakisi ukweli halisi wa tatizo!
Chanzo kikuu cha kufa kwa vyombo vya habari ni ukosefu wa habari za kiuchunguzi (investigation)
Kwasababu watu wanahitaji habari halisi ili wavutiwe kutizama au kusoma magazeti!
Vyombo vya habari karibu vyote siku hizi vimekosa Investigation Journalism.
Ni kama kusifu na kupamba rangi ya nyumba pasipo kujadili nyufa nyumba!
Vyombo vingi vya habari vitapotea kama hawatajipambanua kutoa habari TECHNICAL!
Vyombo vya habari vinahoji watu walewale kama chanzo cha taarifa pasipo kujikita katika uchunguzi wa tatizo lenyewe!
Kwa utaratibu wetu yakwetu yote tutayazika siku sii nyingi.Unaongea na still hujui unachoongea
Washington post iliuzwa Kwa kushindwa
Kupata faida ina survive now Kwa kuwa alienunua ndo mtu tajiri kuliko wote duniani
Haimpi shida kumiliki gazeti linalopata hasara
Hayo magazeti yote uliyotaja yote Yana struggle..
Mengine yana online contents na matangazo ya online
Mengine yanamilikiwa na big media houses zenye online branch na TV na kadhalika
Hakuna newspaper inayopata faida these days...
InakuajeChanzo cha vyombo vya habari kufa ni hiki hapa.Unalijua hilo,nalijua hilo na wanalijua hilo.Achana na simulizi za Alfu Lela U Lela! View attachment 1642099
HahahKwa utaratibu wetu yakwetu yote tutayazika siku sii nyingi.
Sio kweli we denzel washington.marekani na uk mitandao ilianzia kule but magazeti yanauzwa sana.google circulation ya the washingtone post kwa siku ni nakala ngapiMedia zinakufa sababu ya technology
Mtasingizia kila kitu
Uchawi ni internet tu
Kwamba Uingereza "The Sun" , Daily Mail ,hayauzi sababu ya Technologia?Media zinakufa sababu ya technology
Mtasingizia kila kitu
Uchawi ni internet tu
Ulaya Internet hakuna?Media zinakufa sababu ya technology
Mtasingizia kila kitu
Uchawi ni internet tu