Jukwaa la Siasa Linapoteza Mvuto Tujenge Hoja, Tuache Taarabu

Ni wazi kuwa si mbaya kwa mtu kuwa na mapenzi na chama fulani Cha kisiasa, kibaya ni pale mtu yule anapojidai kujipofusha na kushindwa kukemea na kuona mabaya yanapotendeka na chama chake au viongozi wake, kwa hali ya kawaida chama tawala kina mambo mengi maovu na mabaya inayofanya hivi sasa wala halihitaji D mbili kuliona, sasa mbaya zaidi ni pale anapotokea kada flani ambaye either kwa kupofushwa na mapenzi yake kwa chama au may be kutumika na kikundi fulani kusafisha taswira mbovu ya viongozi wake anakuja either kusifia maovu ya viongozi na kuuaminisha umma kiongozi anapendwa, mara ooh sijui hatutapata kiongozi kama yeye ila ukiingia kusoma vizuri huoni ni kipi cha maana alichofanya kiongozi huyo unakuja kugundua ni ngonjera tu, in short kufupisha maelezo ni kuwa kuna watu humu kutoka chama tawala ndiyo wanafanya jukwaa la siasa lipoteze mvuto na kukosa mashiko kwa hoja zao duni zilizojaa uongo na ulaghai na kusifia hata visivyostahili kusifiwa, na kwa kuwa jukwaa hili limejitanabaisha kwa slogan yake ya uhuru wa kuongea kwa uwazi bila mipaka hivyo haiwezekani kuwastopisha katika hayo yote zaidi tu ya either kusoma na ku ignore au kuongea Chochote kitu unachoona kinafaa kwa wakati huo ijapokuwa matusi si kitu sahihi
 
Asante kwa maoni kaka
 
Hii ndiyo maana ya huu uzi kwamba watu waje na hoja za maana watu wajadili

Kusema Sa100 anapendwa na Watanzania wote hadi wanabubujikwa na machozi hapo imetumika hisia zaidi

Na mtu akianza kutumia hisia kuliko akili anapoteza mvuto
Anza kwanza kuongea na Chawa wajirekebishe.
 
Sisi wengine atuchangii mada zinazohusu siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…