Juliana shonza; Waambie wanawake wenzako kama hawawezi kuhudumia watoto wao wawapeleke kwa Baba Zao full stop na sio hizo ngonjera ulizotoa

Hatuzungumzii utakatifu tunazungumzia Wajibu, majukumu na HAKI



Hakuna anayekataa Baba kutoa huduma. Ila atoe huduma Akiwa nyumbani kwa Baba.
Kama Baba atapendekeza vinginevyo ndivyo mtoto akae kwa Mama.

Mama huwezi king'ang'ania watoto alafu wajibu wa kuwahudumia umpe Baba. Huo ni USHENZI, ukatili, dhulma, ubinafsi.
Kama huwezi kuhudumia huna haja ya king'ang'ania kukaa na watoto.




Yule dogo aliyekufa Dodoma Kisa Mamaake kumuacha usiku vijiweni kwenye bodaboda huko yeye akaenda kwenye starehe zake naye yupo kundi la Wanawake unaowazungumzia?


Mkishaachana majukumu yanabadilika.
Hayo majukumu ya Baba na Mama yapo kwenye Ndoa na watu wanaoishi pamoja.

Lakini baada ya kuachana wajibu na majukumu hubadilika.
Mwenye jukumu la kukaa na mtoto ni Yule anayeweza kumhudumia full stop. Hizo nyingine ni huruma zisizo na kichwa Wala miguu.


Kuhusu suala la Baraka Hilo achana nalo kwa Sababu lipo juu ya Akili za kawaida ambazo huenda wewe ndio unazo.

Kama unaona suala la Baraka ni suala la propaganda Basi bado unamambo Mengi ya msingi ya kujifunza
 
Mkuu, Robert Heriel Mtibeli amesema kuwa uking'ang'ania kukaa na watoto, JITEGEMEE, usianze kuombaomba hela kwa madai kuwa ulishindwa kutafuta sababu ulikua unamsafisha mtoto.

Mwanaume akiachiwa watoto atatafuta wanawake wengine wa kuwalea lakini hataomba hela kwa mwanamke, basi na wanawake wafanye hivyo, watafute wanaume wengine wataotafuta hela ili wao waendelee kuwasafisha watoto au watafute wanaume wataowasafisha watoto wakati wao wanawake wameenda kutafuta hela.

Msingi wa bandiko ni kuwa, using'ang'anie watoto wakati hauna uwezo wa kuwatunza. Acha mwenye uwezo wa kifedha akae nao
 
Kama baba .mwenye akili, na unawaza kuwa ke anachukua hela za mtoto kwa starehe, kalipie ada shule, mnunulie mtoto material things kama woana mke anafaidi sana.

Ni kosa kubwa kumhukumu mtoto kwa ugomvi wenu.
Kuna wengine huwa wanawabadirisha majina ya ubini na kuwapa majina ya ubini wa washikaji zao, naanzaje kuhudumia
 

Wanajizima Data
Wanajifanya hawaelewi nilichoandika.

Kama huwezi kutunza watoto wako uliowazaa mwenyewe mpelekee Baba yake na sio kusumbua watu na Serikali
 
Kama baba .mwenye akili, na unawaza kuwa ke anachukua hela za mtoto kwa starehe, kalipie ada shule, mnunulie mtoto material things kama woana mke anafaidi sana.

Ni kosa kubwa kumhukumu mtoto kwa ugomvi wenu.
Hujui ulisemalo, hawa ndio malaya anaowazungumzia Mtibeli.

Huyu mtoto anahusika vipi na beef zao? Unajuwa madhara kwa mtoto kwa post kama hizi kwa miaka 20 au 30 ijayo? Internet haisahau kitu.

 
Umerahisishia maelezo kwa lugha nyepesi bahati mbaya uyo mtu anapenda sana ligi, hii vita haitaisha leo
 
Child support ni muendelezo wa wanawake kuzitumia loopholes za kisheria kwa masilahi yao binafsi.

Anaekaa na mtoto ndie anatakiwa kuwajibika kwa gharama zote za malezi. Kama hauwezi kumuhudumia mtoto au unataka mtoto aishi lifestyle ambayo hauwezi kuimudu na unafikiri mzazi mwenzako anao huo uwezo basi mpeleke mtoto akakae kwa mzazi mwenzako.

Kama uyo mzazi mwenzako ratiba zake zinambana kiasi cha kushindwa kukaa na mtoto basi hapo elewaneni gharama zitakuaje

Ni ujinga kung'ang'ania kukaa na mtoto wakati hauwezi kumudu gharama za malezi
 
Malezi bora hutoka kwa baba na mama.
Mungu hakukosea kuumba Taasisi iitwayo ndoa.
Mengine yote ni ushetani tu
 
Mlete kwangu au Baki naye..FULL STOP....
 

Na hiko ndicho kinatakiwa kufanyika

Huwezi kumudu matumizi yako hutakiwi kupewa mtoto full stop
 
Malezi bora hutoka kwa baba na mama.
Mungu hakukosea kuumba Taasisi iitwayo ndoa.
Mengine yote ni ushetani tu

Kuachana kupo
Na kwa zamani mtoto alibaki kwa Baba.

Ikitokea Mama kamchukua mtoto yeye ndiye atahusika na malezi na huduma zote muhimu.
 
Lakini usiache kuwahudumia watoto wako kwa upumbavu wa mama yao, maandiko yanasema mtoto mpumbavu ni aibu kwa mama yake
 
Lakini usiache kuwahudumia watoto wako kwa upumbavu wa mama yao, maandiko yanasema mtoto mpumbavu ni aibu kwa mama yake

Lazima wafuate maelekezo yangu. Mimi ndiye natoa hela.

Kama mama analeta kiburi, dharau, na ukosefu wa maadili. Na nimemtaka ni mlee mwanangu akagoma. Hakuna mwanaume atakayetoa huduma hapo.
 
Wanawake wengi wa KiaAfrica waliokwenda shule kidogo wako brainwash na kuendeshwa na mifumo ya kidunia kiasi cha kujiona wana uwezo sawa na wanaume kumbe wanajidanganya sana.
Tena mkuu yamekua majinga ,hayafikilii kesho, kutwa nunua vipodozi ati baba ndo awajibike na siku mkikosana yanataka haki sawa ya mgawanyo wa mali.

Ipo sababu kuu ya kubadilisha sheria hizi kwa wanaume

Wizara ya dr Gwagima ikaliangalie hili kwa wivu mkubwa , vinginevyo nitaongonza wanaume wenzangu kuandamana , uhuni huu ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…