KERO Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

KERO Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na Watalii wakija watakwenda kutusema makwao wakirudi ni aibu na fedheha kubwa kwa nchi yetu.

Kupata ufafanuzi wa mamlaka soma hapa: Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini yatoa ufafanuzi maji kukosekana vyooni, wasema mchukua video hakufungua bomba vizuri
 
Mamlaka ya JNIA Dar es Salaam na TAA imeshindwa kuchimba kisima kirefu wajitegemee maji.

Au wanamsubiri mama anayetwishwa kazi zote Tanzania atoe tamko kazi ya kuchimba kisima iendelee, halafu watoe sifa kwa mheshimiwa rais kwa kutoa fedha mfukoni.
 
Ngoja niingie mzigoni
GNoPC1CXoAAzWwG.jpeg
 
Mamlaka ya JNIA Dar es Salaam na TAA imeshindwa kuchimba kisima kirefu wajitegemee maji.

Au wanamsubiri mama anayetwishwa kazi zote Tanzania atoe tamko kazi ya kuchimba kisima iendelee, halafu watoe sifa kwa mheshimiwa rais kwa kutoa fedha mfukoni.

Tumejaza watu incompetent karibu kila sehemu. Hawawezi kufikiri maana hawana uwezo huo. Wao ni siasa na kupiga majungu tuu
 
Back
Top Bottom