KERO Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
kuna mambo yanatia hasira hapa duniani.
 
TAA na JKNIA hawana KITU wawajibishwe,mama hana watu magarasha tu. watumbue dawa ni hiyo tu.
 
View attachment 3051135
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na Watalii wakija watakwenda kutusema makwao wakirudi ni aibu na fedheha kubwa kwa nchi yetu.
Uwe unajisaidia kwenu yaani unafunga safari toka nyumbani kwako hadi Airport kwenda kujisaidia

Acha hiyo tabia
 
Hii nchi kuna watu wa hovyo sana wamepewa majukumu ya maana. Hopeless kabisa.
Ukiwaona wanavyovimba kwenye LC300 series huwezi amini kwamba hata kusimamia koki zitoe maji 24/7 kwenye eneo critical kama Airport ni kazi ngumu sana kwao.

Siku nikikamata uongozi wa juu kama uraisi kuna watu watahama nchi kwa ridhaa zao tu. We have a lot of hopeless people on the government payroll.
 
Wengine tumewakabidhi treni mpya na station zake mpya, subirini baada ya miaka michache kama hata viti vya treni vitakuwa na foronya.
Hahahahah miaka wapi, ni baada ya miezi 10 tu Chinua Achebe anahusika😂
 
Kitakachotokea hapo wataanza kudeal na mtoa taarifa baada yakulifanyia kazi tatizo.
Eeh hapo hukawilii kusikia Dudu Baya aka Mamba kaokotwa Katavi akiwa hajitambui. Tuna system ya hovyo sana "Reactive" kwa kila kitu.
 
vyoo.jpg
 
Waafrica ni kama tuna Laana...hata iyo Treni ya SGR nyie subirini itakata upepo siku sio nyingi...Hakuna tunaloweza zaidi ya kukata viuno.
Hakuna cha laana bana, shida ni incompetence na Nepotism. Mtoto wa dada, mkwe, mjomba, binamu, family friends ndio kibao n.k.

Unamuweka mkweo kwenye kitengo critical wakati hana uwezo unambeba beba tu mwishowe unaumbuka maana ku deliver hawezi anaishia tu kukufedhehesha na unaogopa binti yako atatunzwaje kama mumewe ukimtimua kazini.

Tatizo kubwa hatupendi kuambiwa ukweli wala kuukubali. Bongo ukiongea ukweli na kutokuwa mnafiki unakuwa adui wa wengi ambao hawapendi mabadiliko to the extent wapo radhi wakatishe hata uhai wako.
 
Sasa si ndio laana yenyewe iyo
 
View attachment 3051135
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na Watalii wakija watakwenda kutusema makwao wakirudi ni aibu na fedheha kubwa kwa nchi yetu.
Huenda wametumwa ili watafute kisingizio na uwanja wakabidhiwe DPW
 
View attachment 3051135
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na Watalii wakija watakwenda kutusema makwao wakirudi ni aibu na fedheha kubwa kwa nchi yetu.
Na hili nalo watasingiziwa Nape na January
 
View attachment 3051135
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na Watalii wakija watakwenda kutusema makwao wakirudi ni aibu na fedheha kubwa kwa nchi yetu.
Wameshindwa hata kuweka ndoo ya maji na kikombe cha kunawia,mbona wangetualewa tu kuwa kuna mgao wa maji...?
 
Wengine tumewakabidhi treni mpya na station zake mpya, subirini baada ya miaka michache kama hata viti vya treni vitakuwa na foronya.

Ila Mama Mnampa wakati mgumu.Ana wasaidizi kibao ila hawamsaidii kwa lolote na chochote.

Kila baya lake kila zuri lake.
Kazi yao kula bata tu mafisadi hawa kiukweli Mama anaonelewa sana
 
Back
Top Bottom