KERO Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

KERO Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mamlaka ya JNIA Dar es Salaam na TAA imeshindwa kuchimba kisima kirefu wajitegemee maji.

Au wanamsubiri mama anayetwishwa kazi zote Tanzania atoe tamko kazi ya kuchimba kisima iendelee, halafu watoe sifa kwa mheshimiwa rais kwa kutoa fedha mfukoni.
Mama aongeze makali kidogo hasa kwa watumishi wazembe wazembe.

Kila kitu kumuaddress raisi ni kuitia aibu kamati ya uteuzi kua inateua magarasa.
 
Katika ulimwengu huu wa karne ya 21, maji pamoja na huduma zote muhimu kijamii hazina budi kuwafikia watu wote kila mahali kwa utoshelevu - na wala siyo eapoti tu.
 
Back
Top Bottom