KERO Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
View attachment 3051135
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na Watalii wakija watakwenda kutusema makwao wakirudi ni aibu na fedheha kubwa kwa nchi yetu.
Wazungu hawatumii maji, hawawezi kushangaa
Ukiwawekea mabunzi kama tishu au toilet paper hakuna fresh tu
 
View attachment 3051135
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na Watalii wakija watakwenda kutusema makwao wakirudi ni aibu na fedheha kubwa kwa nchi yetu.
Waziri wa uchukuzi ni nani?
 
Hivi swala kama hili linafwataje ngazi mpaka lifikie ofisi ya Raisi? Manaa naona kila kitu mpaka Mheshimiwa Raisi atajwe duh!
 
😀😀😀
Mamamalaamaae zenu, uongozi wa airport
Najua nenda kufingiwa tena, lakini nimelia sana mnionee huruma
Eti dakika tano za kubadilisha mfumo, mmamamalamamamae zenu tena

1721934862321.png
 
View attachment 3051135
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na Watalii wakija watakwenda kutusema makwao wakirudi ni aibu na fedheha kubwa kwa nchi yetu.
Ndugu acha kabisaa yaoinikuta wiki iliopita nishaashushq mzigoo hatare nilichosaidiwa na mkaka mmoja Allah amsaidie wèwew toka sikuhio nikifika choon naflash kwanza yakitoka nashusha cement
 
Wameshindwa hata kuweka ndoo ya maji na kikombe cha kunawia,mbona wangetualewa tu kuwa kuna mgao wa maji...?
Tuseme labuda (kwa sauti ya brother K) maji yalikatika kweli kwa dkk 5 je mtu akae muda wote huo bila maji na yaliporudi haraka kama wasemavyo yalikuwa na pressure ndogo je mpaka tank la kuflush lijae ili usukume mzigo si ilichukua hata 30min
 
Mamlaka ya JNIA Dar es Salaam na TAA imeshindwa kuchimba kisima kirefu wajitegemee maji.

Au wanamsubiri mama anayetwishwa kazi zote Tanzania atoe tamko kazi ya kuchimba kisima iendelee, halafu watoe sifa kwa mheshimiwa rais kwa kutoa fedha mfukoni.
Kukosekana maji Dar es Salaam ni aibu sana kwa serikali kwa jumla; hatuwezi kuwa na jiji ambalo kila mtu ana kisima chake
 
Tatizo la kuingizana kwenye mfumo kishkaji hahah, aibu ndo hii...maneno ya ulaya vitendo vya mangungo.
 
View attachment 3051135
Hii ni Kero Kubwa sana Wahusika ninaomba Serikali ya Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan iwachukulie hatua kali kuondosha aibu kubwa kama hii inayo fedhehesha Taifa letu. Wageni wakija na kuona maji hakuna katika vyoo ni kitendo cha aibu sana kwa nchi yetu inayo tegemea sana Bishara ya Utalii na Watalii wakija watakwenda kutusema makwao wakirudi ni aibu na fedheha kubwa kwa nchi yetu.
Mavi huleta aibu sana
 
Kukosekana maji Dar es Salaam ni aibu sana kwa serikali kwa jumla; hatuwezi kuwa na jiji ambalo kila mtu ana kisima chake

Nawapongeza wakazi wa Dar es Salaam wengi wachimba visima vyao na kuweka solar power panel ktk majumba yao wafurahie maisha baada ya kuona jinsi serikali ilivyofeli ktk eneo la kuwapatia maji na umeme wa kutosha.

Taasisi zingine nazo zinatakiwa kujiongeza wakati serikali bado inajiburuza kutatua masuala ya maji.
 
Hayo ndiyo Gen Z wa Kenya wametufundisha kuwa hatuwezi kuiacha salama serikali isiyotekeleza wajibu wake kwa WAN’a nchi
 
Back
Top Bottom