KERO Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

KERO Julius Kambarage Nyerere International Aiport vyooni hakuna Maji Aibu sana nchi yetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Imagine, pamoja na ushahidi wa video, lakini jamaa wanasema ipuuzwe like nothing happened 😀

Hii nchi ya kibabe sana, na mwananchi hana haki ya kuongea au kuhoji.

Mteja anahoji/lalamika juu ya huduma mbovu ya chooni, wewe unajipu apuuzwe like malalamiko yake hayana maana? Yeye ni kichaa hana akili za kutosha. Alistahili kutumia chooo hivo hivo hata kama hakina maji?

Tunahitaji siasa safi katika hii nchi, + uwajibikaji kuanzia juu kwenda chini
 
Kwa hii serikali sema haizidi milioni 300.
Hiyo milioni 30, kimahesabu ya kibongo bongo sio sawa maana hujajumuisha posho za chawa, viongozi waandamizi, madalali na wazee wa 10%
Hahahah...🤣🤣... Kweli kabisa wanaweza kupandisha gharama...
 
Back
Top Bottom