Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kivipi mkuu? Si amesema ukweli? Au ukweli ni dhambi siku hizi?Hii itamkost dudu baya
Mamlaka ya JNIA Dar es Salaam na TAA imeshindwa kuchimba kisima kirefu wajitegemee maji.
Au wanamsubiri mama anayetwishwa kazi zote Tanzania atoe tamko kazi ya kuchimba kisima iendelee, halafu watoe sifa kwa mheshimiwa rais kwa kutoa fedha mfukoni.