Imagine, pamoja na ushahidi wa video, lakini jamaa wanasema ipuuzwe like nothing happened 😀
Hii nchi ya kibabe sana, na mwananchi hana haki ya kuongea au kuhoji.
Mteja anahoji/lalamika juu ya huduma mbovu ya chooni, wewe unajipu apuuzwe like malalamiko yake hayana maana? Yeye ni kichaa hana akili za kutosha. Alistahili kutumia chooo hivo hivo hata kama hakina maji?
Tunahitaji siasa safi katika hii nchi, + uwajibikaji kuanzia juu kwenda chini