Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani tuongee yote lakini tutambue kuwa hii ni vita Kali Sana Tena vita ya uchumi, kuhusu malema ni kwamba ,, "he who feeds you controls you". Thomas Isdore Sankara ✍️✍️
Na hili nalo mkalitazameKiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.
Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.
Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.
View attachment 2576286
Museveni yupo ikulu tangu 1986 mpaka leo hii, anatafuta kuendelea kukubalika kama rais, ingawa anaonekana hajali kuhusu yeye kuitwa dikteta na jamii za kimataifa.Mm sioni kosa ktk hili. Msimamo wa Museven ulipaswa kuwa ni kutoruhusu ndoa za jinsia moja basi. Lkn kitendo chake cha kuwanyima hata haki ya kupanga nyumba, na kwamba mwenye nyumba atakayewaoangisha ashughurikiwe pia. Nadhani it is too much
Kuendesha adhabu ama mauaji dhidi ya kundi au kabila fulani ni mateso ama mauaji ya kimbali (genocide).
Hata Mimi nyumba yangu sipangishi senge asilete laanaMm sioni kosa ktk hili. Msimamo wa Museven ulipaswa kuwa ni kutoruhusu ndoa za jinsia moja basi. Lkn kitendo chake cha kuwanyima hata haki ya kupanga nyumba, na kwamba mwenye nyumba atakayewaoangisha ashughurikiwe pia. Nadhani it is too much
Kuendesha adhabu ama mauaji dhidi ya kundi au kabila fulani ni mateso ama mauaji ya kimbali (genocide).
Ulimsikia vizuri tundu lisuMalema kama Tundu tuu
Halafu wanataka kuwa watawala[emoji849][emoji849][emoji849]
Watasubiri sana
Ulimsikia vizuri tundu lisu
Kwani alikuwa anaunga mkono
Ushoga,tatizo nyie vita vyenu vya ushoga ni vya kinafki
Ova
Mkuu wa mkoa fulani alikuwa anaukemea ushoga,usiku yuko naoNilimsikia
Alisema serikali haitakiwi kuingilia faragha za watu wanazofanya vyumbani
Nikamuelewa
Mkuu wa mkoa fulani alikuwa anaukemea ushoga,usiku yuko nao
Hadi kwenye mashuguli
Leo wee hapo weka kikodoro uone
Mashoga watajaa top na mrajumuika nao mnaserebuka
Media zenu,wasanii wenu wote wamejaaa na wanaunga mkono ushg
Yule comedian wenu bongo miaka nenda rudi Ana act ushg na nyie mnakaa mnamfatilia.......huku mkishangilia
Mtaerewaaaaa tuuuuuuu
Ova
Kama ni kweli nimemvua nyota zote huyu mshikaji.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Naomba upuuzwe
Mbona watetezi wa ushoga Tanzania wanajulikana?!Lema na Lisu ndio wanayoyataka hayo