Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Huyu ndiye TEAM PUTINBoya kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndiye TEAM PUTINBoya kweli
Kwani lisu na lema wapo madarakani?mbona mama kama anachukia uovu huu tusipitishe mswada na sisi kama ugandaLema na Lisu ndio wanayoyataka hayo
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.
Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.
Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.
View attachment 2576286
Eti nimemvua, wewe kama nani? Elimu yako itakuwa ndogo na umetawaliwa na uamini wa diniKiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.
Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.
Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.
View attachment 2576286
Na huku tunataka kufanya kama Mseveni!! Malizia deni la pango la nyumba uondokeMm sioni kosa ktk hili. Msimamo wa Museven ulipaswa kuwa ni kutoruhusu ndoa za jinsia moja basi. Lkn kitendo chake cha kuwanyima hata haki ya kupanga nyumba, na kwamba mwenye nyumba atakayewaoangisha ashughurikiwe pia. Nadhani it is too much
Kuendesha adhabu ama mauaji dhidi ya kundi au kabila fulani ni mateso ama mauaji ama mateso ya kimbali (genocide).
Eti mtu anataka kuutumia mwili wake hivyo, inawauma Nini?Mtoto akililia wembe mpe, afirwe mwingine maumivu nipate mimi hivi hii inakuwaje hasa?
Kama ni kweli nimemvua nyota zote huyu mshikaji.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
mashoga mmeachwa baada ya makamu wa mashoga kuwatembelea ikulu jitokezeni tuwasukumie moto moshoga nyinyi na ccm yenu.Huyu ni mwenzenu wana chadema huyu ni kioo cha wa na demokrasia duniani uhuru wa mashoga ,hii ajenda kwa wanademokrasia sio kosa labda wewe kichwa maji kama hujui
USSR
juzijuzi mashoga mmetembelewa ikulu na makamu wa mashoga jitokezeni tuwasukumie moto mashoga ya ccm.Lema na Lisu ndio wanayoyataka hayo
Kumbe naye msenghe,,!Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.
Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.
Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.
View attachment 2576286
NI HAYATI JPM TU NDO ALIKUWA MTETEZI WA WANYONGE. ALIJITOA KAFARA KWA AJILI YA NCHI YAKE!Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini.
Ukiona mwanasiasa anapigania kitu basi ni kwa maslahi yake binafsi. Hakuna mtu yeyote aliyekuwa kwenye siasa akawa mzalendo wa kuwazia wengine zaidi ya nafsi yake.
Kapitishiwa ruzuku yake na wahamasisha ushoga ndio leo unamuona anaandamana kuwatetea.
Usistaajabu kesho ukamuona na gauni na kujitangaza ni shoga ikiwa kapewa kiasi sahihi anachohitaji.
Kwasasa ushoga ni fursa kama unavyoona Crypto currency. Wazee wa fursa wanautumia kunufaika.
Achana nayo mkuu...Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.
Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.
Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.
View attachment 2576286
Watu aina ya Malema na Chadema, ni Hatari sana Kwa usalama wa Nchi .
Wapo tayari kufanya mambo ya ovyo ili mradi tu wasaidiwe na Mabeberu kushika Nchi.
Mambo ya haki ni ya kisenge so mtu anataka apewe haki ya kupigwa p*umbu. Aisee dume unataka upigwe miti kweli?????????? Anyway Kila mtu ana haki zake coz hata mm ukinilazimisha nisinywe bia wakati mi napenda LAZIMA NIRUKE NA WEWEKiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.
Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.
Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.
View attachment 2576286
Unapenda hizi mada wewe ni memba wa upinde....Huyu ni mwenzenu wana chadema huyu ni kioo cha wa na demokrasia duniani uhuru wa mashoga ,hii ajenda kwa wanademokrasia sio kosa labda wewe kichwa maji kama hujui
USSR
Jamani tuongee yote lakini tutambue kuwa hii ni vita Kali Sana Tena vita ya uchumi, kuhusu malema ni kwamba ,, "he who feeds you controls you". Thomas Isdore Sankara ✍️✍️Halafu Mungu akiwakataa wanalalamika
Malema ajue akiwa yeye shoga asitake iwe halali kwa kila mtu. Wa hovyo sana