Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

South Africa ndoa za mashoga zimeruhusiwa muda mrefu sana chini ya ANC.
Watu aina ya Malema na Chadema, ni Hatari sana Kwa usalama wa Nchi .

Wapo tayari kufanya mambo ya ovyo ili mradi tu wasaidiwe na Mabeberu kushika Nchi.
 
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.

Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.

Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.

View attachment 2576286
South Africa ina laana ya Apartheid, iliyonajisi Nchi yote hadi vizazi vya 4 na kuendelea. Muasisi wa yote alikuwa Askofu Desmond Tutu. They are rotten. They are gone.
 
Cha kushangaza huyuhuyu Malema yuko mstari wa mbele kupinga kila kitu cha mabeberu imekuaje kalainika kiasi hiki hadi atetee ushoga kwa nguvu zote? Ni nini kimemtokea na kumpata jamani?
We ndio hauna exposure, Malema miaka yote ame support LGBT sababu South Africa hayo mambo ni sehemu ya culture Yao Yako wazi kabisa Sasa sielewi unaposema Nini kimemtokea unamaana Gani? Na sio Malema tu vyama vyote ukiacha ANC vimepinga muswada huo wa Uganda meaning Raia wa kule hawana shida na LGBT Sasa Malema afanyeje? I don't like Malema ila kwa hili ni tatizo la nchi sio yeye kama yeye kuunga mkono, maana angepinga asahau kabisa kura za majimbo yote ya mjini.
 
Yani inashangaza mtu kama Malema kuunga mkono ushoga.

Julius Malema mwenyekiti wa chama cha upinzani Africa kusini EFF Economic Freedom Fighters leo ameitisha maandamano ubalozini wa Uganda Afrca kusini kupinga sheria kali ya ushoga itakayopitishwa na bunge la Uganda.

Cha kushangaza huyuhuyu Malema yuko mstari wa mbele kupinga kila kitu cha mabeberu imekuaje kalainika kiasi hiki hadi atetee ushoga kwa nguvu zote? Ni nini kimemtokea na kumpata jamani?
Alikwembia anapinga mabebelu alikudanganya
 
Mimi nimemdharau!
 
Huyu jamaa nilikuwa namheshimu sana nilikuwa natamani nikiwa mkubwa niwe mzarendo kama yeye lakini kwa tukio la kuandamana kisa kupinga sheria dhidi ya mashoga sitaki kufuatilia jambo lolote kuhusu yeye
 
Hapana mkuu usiseme hivyo kwasababu inanishangaza sana nini kimemtokea huyu mwamba? Hii siyo mila desturi ya Mwafrika ukizingatia malema hapendi chochote kutoka magharibi.

Halaf acha mambo ya kisengeh kunihusisha na hayo mambo. Sijafurahishwa
Mila na destury za muafrica Ni zip?
 
Nilisema Malema ni akili kubwa nikatukanwa na jamaa mmoja. Huyo jamaa sikujibizana nae.
 
Afadhali malema hakuonesha unafiki juu ya ushoga kama mwanasiasa. Sasa kama nchi yake inaukubali ushoga yeye ni nani hata aupinge wakati anatumaini la kuwa rais wa nchi hiyo yenye raia wazungu wenye asili ya ulaya ushoga unakokubaliwa? Anacheza na siasa za kimataifa acha ajitoe ufahamu
Kwa Sasa kila mwanasiasa wa anayetaka kufanikiwa kisiasa ,sharti moja aunge mkono ush...oga.kinyume na hapo ategemee kuanguka,agenda from nchi za magharibi.
 
Back
Top Bottom