Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

... Malema huyu huyu si ana itakadi kali za mlengo wa kikomunisti? Haya pro-Malema kazi kwenu kumeza au kutema!
 
Zitto anasemaje juu ya hili
Zitto ni upinde kitambo sana

USSR
Screenshot_20230404-161910.jpg
 
Kiongozi wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Afrika Kusini, Julius Malema, ameongoza maandano akiwa amevaa bendera inayotumiwa na jamii ya wanaounga mkono mapenzi ya jinsia moja akiongoza waandamanaji kumpinga Rais wa Uganda, Yoweri kufuatia kutungwa kwa sheria inayozuia masuala ya mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda.

Malema na anaowaongoza katika maandamano wamebeba mabango yanayoonesha haki za "mashoga na wasagaji" ni haki za binadamu na inapaswa waheshimiwe.

Leo nimemvua Malema nyota zote na heshima zote nilizowahi kumpa.

View attachment 2576286
Wenzenu wamepevuka uchafu ni uchafu usafi ni usafi...

Sio nyie mnachukia mambo nusu nusu... malema anatetea haki zote wewe je?

Umvue nyota ilihali umezungukwa na kinyesi hapo kwenu?
 
Na ndo alisema anamkaribisha Putin SA. Mbona haeleweki. Museveni na Putin wana tofauti gani kwenye hili
 
Watu aina ya Malema na Chadema, ni Hatari sana Kwa usalama wa Nchi .

Wapo tayari kufanya mambo ya ovyo ili mradi tu wasaidiwe na Mabeberu kushika Nchi.
 
Yani inashangaza mtu kama Malema kuunga mkono ushoga.

Julius Malema mwenyekiti wa chama cha upinzani Africa kusini EFF Economic Freedom Fighters leo ameitisha maandamano ubalozini wa Uganda Afrca kusini kupinga sheria kali ya ushoga itakayopitishwa na bunge la Uganda.

Cha kushangaza huyuhuyu Malema yuko mstari wa mbele kupinga kila kitu cha mabeberu imekuaje kalainika kiasi hiki hadi atetee ushoga kwa nguvu zote? Ni nini kimemtokea na kumpata jamani?
 
Yani inashangaza mtu kama Malema kuunga mkono ushoga.

Julius Malema mwenyekiti wa chama cha upinzani Africa kusini leo ameitisha maandamano ubalozini wa Uganda Afrca kusini kupinga sheria kali ya ushoga itakayopitishwa na bunge la Uganda.

Cha kushangaza huyuhuyu Malema yuko mstari wa mbele kupinga kila kitu cha mabeberu imekuaje kalainika kiasi hiki hadi atetee ushoga kwa nguvu zote? Ni nini kimetokea jamani?
Sasa ww na malema kuna tofauti gani huna mambo ya maana kuandika mpk uupe ushoga promo!!?
 
Sasa ww na malema kuna tofauti gani huna mambo ya maana kuandika mpk uupe ushoga promo!!?
Hapana mkuu usiseme hivyo kwasababu inanishangaza sana nini kimemtokea huyu mwamba? Hii siyo mila desturi ya Mwafrika ukizingatia malema hapendi chochote kutoka magharibi.

Halaf acha mambo ya kunihusisha na hayo mambo. Sijafurahishwa
 
Afadhali malema hakuonesha unafiki juu ya ushoga kama mwanasiasa. Sasa kama nchi yake inaukubali ushoga yeye ni nani hata aupinge wakati anatumaini la kuwa rais wa nchi hiyo yenye raia wazungu wenye asili ya ulaya ushoga unakokubaliwa? Anacheza na siasa za kimataifa acha ajitoe ufahamu
 
Yani inashangaza mtu kama Malema kuunga mkono ushoga.

Julius Malema mwenyekiti wa chama cha upinzani Africa kusini EFF Economic Freedom Fighters leo ameitisha maandamano ubalozini wa Uganda Afrca kusini kupinga sheria kali ya ushoga itakayopitishwa na bunge la Uganda.

Cha kushangaza huyuhuyu Malema yuko mstari wa mbele kupinga kila kitu cha mabeberu imekuaje kalainika kiasi hiki hadi atetee ushoga kwa nguvu zote? Ni nini kimemtokea na kumpata jamani?
Mwanasiasa sio mtu wa kumuamini.

Ukiona mwanasiasa anapigania kitu basi ni kwa maslahi yake binafsi. Hakuna mtu yeyote aliyekuwa kwenye siasa akawa mzalendo wa kuwazia wengine zaidi ya nafsi yake.

Kapitishiwa ruzuku yake na wahamasisha ushoga ndio leo unamuona anaandamana kuwatetea.

Usistaajabu kesho ukamuona na gauni na kujitangaza ni shoga ikiwa kapewa kiasi sahihi anachohitaji.

Kwasasa ushoga ni fursa kama unavyoona Crypto currency. Wazee wa fursa wanautumia kunufaika.
 
Back
Top Bottom