Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

Sielwei kwanini umfunge mtu kwa ajiri yeye ni shoga, Malema yuko sawa, hakuna haja ya kuwaonea mashoga, wengi ni ndugu zetu na rafiki zetu na wamezaliwa hivyo hakuna namna ya kuwabadilisha

Hata kama ni ndugu zetu washughulikiwe tu.
Ushoga ni agenda ya wazungu kuharibu kizazi cha Waafrika.

Mashoga yakiwa mengi yataanza movement kudai haki zao kama ilivyo nchi za magharibi.

Utashangaa wanazindua week ya ushoga hapo dsm na maandamano aka gay parade.View attachment 2577187
 
Yani inashangaza mtu kama Malema kuunga mkono ushoga.

Julius Malema mwenyekiti wa chama cha upinzani Africa kusini EFF Economic Freedom Fighters leo ameitisha maandamano ubalozini wa Uganda Afrca kusini kupinga sheria kali ya ushoga itakayopitishwa na bunge la Uganda.

Cha kushangaza huyuhuyu Malema yuko mstari wa mbele kupinga kila kitu cha mabeberu imekuaje kalainika kiasi hiki hadi atetee ushoga kwa nguvu zote? Ni nini kimemtokea na kumpata jamani?
Ata mi nashangaa sana mana hivi karibuni alisema wao South Africa watampokea Putin na kumlinda muda wote akitaka kuitembelea South Africa kuhusu tishio la Putin kukamatwa na nchi wanachama kukabidhiwa ICC

Anamsapoti putin ambaye anapinga ushoga lakini sasa yeye anakuja kuunga mkono ushoga sijui ni kitu gani kimemkuta huyu jamaa
 
Afadhali malema hakuonesha unafiki juu ya ushoga kama mwanasiasa. Sasa kama nchi yake inaukubali ushoga yeye ni nani hata aupinge wakati anatumaini la kuwa rais wa nchi hiyo yenye raia wazungu wenye asili ya ulaya ushoga unakokubaliwa? Anacheza na siasa za kimataifa acha ajitoe ufahamu
Achunguzwe malema isijekuwa na yeye binafsi ni mtu wa upinde
 
Hapana mkuu usiseme hivyo kwasababu inanishangaza sana nini kimemtokea huyu mwamba? Hii siyo mila desturi ya Mwafrika ukizingatia malema hapendi chochote kutoka magharibi.

Halaf acha mambo ya kunihusisha na hayo mambo. Sijafurahishwa
Labda nawe umo ila unapitia mlango wa nyuma kushadadia.
 
Hapana mkuu usiseme hivyo kwasababu inanishangaza sana nini kimemtokea huyu mwamba? Hii siyo mila desturi ya Mwafrika ukizingatia malema hapendi chochote kutoka magharibi.

Halaf acha mambo ya kunihusisha na hayo mambo. Sijafurahishwa
Siamin kama malema anawezaa fanyaa Ivyoo.
 
Ww unamjua lakini ww hakujui na wala hana mda na ww.pambana na hali yako tu.
NO UCHOKO.
 
hua najiuliza kwa mfano wale walio zaliwa hawana uwezo wa kusimamisha. ( kudindisha). au walio pata ajali na kushindwa kusimamisha tena.
najiuliza watu wa aina hio kunasababu zozote za kisansi za kupata hisia za kuingiliwa kinyume cha maumbile yao?

kama ndio je watu wa aina hio hawawezi kupinga hisia tofauti za kujamiiana kinyume. je nisahihi kuwahukumu kwa hisia ambazo ni natural wanakua nazo kutokana na aina hio ya ulemavu?

kama jibu ni hapana. je watu hawa hawana mfumo mwingine wa kuhisi hitaji la kujamiiana?
 
Mnaupa promo na huu ndo ukweli.
Watu wamekalia ubishi na ujinga wa kulaani watu wanaotoa maoni yao kuhusiana na Ushoga lakini hakuna anajitolea kuelimisha wananchi wake kuhusu madhara ya kuwa shoga...kama utaki kuelimisha wananchi basi ukae kimya make wanavyoitajataja ndo inazidi kushamiri.
Jitokezeni kwenye jamii live mtoe elimu siyo kulalamika tu dhidi ya wanaosemea upande mwingine wakiwa live.
 
Yani inashangaza mtu kama Malema kuunga mkono ushoga.

Julius Malema mwenyekiti wa chama cha upinzani Africa kusini EFF Economic Freedom Fighters leo ameitisha maandamano ubalozini wa Uganda Afrca kusini kupinga sheria kali ya ushoga itakayopitishwa na bunge la Uganda.

Cha kushangaza huyuhuyu Malema yuko mstari wa mbele kupinga kila kitu cha mabeberu imekuaje kalainika kiasi hiki hadi atetee ushoga kwa nguvu zote? Ni nini kimemtokea na kumpata jamani?
Ninavyojua Mimi Huwa hakuna mkate mgumu mbele ya Chai.
 
Mbona CHADEMA wengi tu wanamsapoti Putin ambaye ni dikteta anafunga na kuua wapinzani wake na bado wanadai demokrasia na katiba mpya hapa nchini?!
Ata mi nashangaa sana mana hivi karibuni alisema wao South Africa watampokea Putin na kumlinda muda wote akitaka kuitembelea South Africa kuhusu tishio la Putin kukamatwa na nchi wanachama kukabidhiwa ICC

Anamsapoti putin ambaye anapinga ushoga lakini sasa yeye anakuja kuunga mkono ushoga sijui ni kitu gani kimemkuta huyu jamaa
 
Yani inashangaza mtu kama Malema kuunga mkono ushoga.

Julius Malema mwenyekiti wa chama cha upinzani Africa kusini EFF Economic Freedom Fighters leo ameitisha maandamano ubalozini wa Uganda Afrca kusini kupinga sheria kali ya ushoga itakayopitishwa na bunge la Uganda.

Cha kushangaza huyuhuyu Malema yuko mstari wa mbele kupinga kila kitu cha mabeberu imekuaje kalainika kiasi hiki hadi atetee ushoga kwa nguvu zote? Ni nini kimemtokea na kumpata jamani?

Ushoga ni uzinzi uliochangamka,mana vitenda kazi ni vile vile kasoro tundu ndio tofauti.
 
Mungu anawaangalia tu, huenda keshakubali hiyo starehe, wewe binadamu ni nani hata uwabague mashoga? Wapo katika jamii, tungewazuia tangu mwanzo, kama tulishindwa acha watu waendelee na starehe zao.
 
Back
Top Bottom