Julius Malema anaongoza maandamano kuunga mkono ushoga na usagaji na kumpinga Rais Museveni

Mzungu hajawahi shindwa jambo akiamua!


Tuwe makini na watoto wetu
 
Jamani tuongee yote lakini tutambue kuwa hii ni vita Kali Sana Tena vita ya uchumi, kuhusu malema ni kwamba ,, "he who feeds you controls you". Thomas Isdore Sankara ✍️✍️

Malema kama Tundu tuu
Halafu wanataka kuwa watawalaπŸ™„πŸ™„πŸ™„

Watasubiri sana
 
Na hili nalo mkalitazame
 
Museveni yupo ikulu tangu 1986 mpaka leo hii, anatafuta kuendelea kukubalika kama rais, ingawa anaonekana hajali kuhusu yeye kuitwa dikteta na jamii za kimataifa.
 
Hata Mimi nyumba yangu sipangishi senge asilete laana
 
Malema kama Tundu tuu
Halafu wanataka kuwa watawala[emoji849][emoji849][emoji849]

Watasubiri sana
Ulimsikia vizuri tundu lisu
Kwani alikuwa anaunga mkono
Ushoga,tatizo nyie vita vyenu vya ushoga ni vya kinafki

Ova
 
Ulimsikia vizuri tundu lisu
Kwani alikuwa anaunga mkono
Ushoga,tatizo nyie vita vyenu vya ushoga ni vya kinafki

Ova


Nilimsikia
Alisema serikali haitakiwi kuingilia faragha za watu wanazofanya vyumbani

Nikamuelewa
 
Narudia kauli kwa nia njema tu.
Fanyaneni wenye kwa wenyewe nyie wakubwa, tena kwa siri, ili watoto wetu wasione na kujifunza kwenu.
Msiwashawishi watoto wetu wawe kama nyie.
Tongozaneni tu na muendelee na mambo yenu katika Privacy. Hakuna shida hapo.
Sisi hatutaki mnavyojitangaza tu basi, ili kuwalinda watoto wetu na kizazi kijacho.
Hii ni kutokana na maelekezo ya Katiba yetu wenyewe.
TUMEELEWANA HAPO
 
Hili jitu bwege kweli kumbe ni walewale wanao taka pesa za KIKUNDI CHA MASHOGA NA WASAGAJI TU, yaani nimelichukia kweli kweli [emoji2959]
 
Nilimsikia
Alisema serikali haitakiwi kuingilia faragha za watu wanazofanya vyumbani

Nikamuelewa
Mkuu wa mkoa fulani alikuwa anaukemea ushoga,usiku yuko nao
Hadi kwenye mashuguli
Leo wee hapo weka kikodoro uone
Mashoga watajaa top na mrajumuika nao mnaserebuka
Media zenu,wasanii wenu wote wamejaaa na wanaunga mkono ushg
Yule comedian wenu bongo miaka nenda rudi Ana act ushg na nyie mnakaa mnamfatilia.......huku mkishangilia
Mtaerewaaaaa tuuuuuuu

Ova
 

Kwahiyo huyo ni sawa na tundu anayesema asiingiliwe faragha zake πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Lema na Lisu ndio wanayoyataka hayo
Mbona watetezi wa ushoga Tanzania wanajulikana?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…