Julius Nyerere: Katika Uchaguzi wa mwaka 1995, Kamati Kuu ya NEC-CCM ilikata jina la Lowassa kwa hoja

Uongozi wa nchi kama uraisi hatuwezi kumpa mtu ambae tuna mashaka nae mwakyembe aliweza kuweka ushahidi wote tena mbele ya bunge, sasa kwanini mnalazimisha , kwani lazima awe raisi??
 
Uongozi wa nchi kama uraisi hatuwezi kumpa mtu ambae tuna mashaka nae mwakyembe aliweza kuweka ushahidi wote tena mbele ya bunge, sasa kwanini mnalazimisha , kwani lazima awe raisi??
Mkuu Mwakyembe hakuthibitisha kuwa Lowasa alifanya vile ila alithibitisha kumrfanyika ufisadi serkalini..

Akiwa kama Kiongozi wa serkali LOWASA ilibidi Ajiuzuru ili kulinda Heshima ya Rais Kikwete..

Ni kama Ilivyokuwa kwa Spika Ndugai..
Spka hakuwa na kosa kusema vile ila aliamua kujiuzuri ili kulinda Heshima ya SA100..

Tatizo letu wabongo hatujawahi.kujua Somo la siasa kuhusu Accountability na Responsibility pia
 
Ninachojua hapa Iringa Nyerere alimleta kijana wake Kachero mbobezi Dr Hassy Kitine agombee ubunge tukamkataa mbele yake na hakufanya lolote

Tukamchagua Mkemia Mwakibasa wa NCCR mageuzi
Kule Mbulu walimkataa mgombea wa Nyerere na kumchagua mgombea binafsi. Hata hiyo 1995 jina la Dr Slaa lilikatwa akahamia CHADEMA na kushinda. Hayati Mwalimu alikuwa na ishu za kiwaki sana linapokuja suala la uchaguzi.
 
Mwalimu alichukia wenye nacho. Alifikia kutamka kwamba mtu kuwa na nyumba za kukodisha ni unyonyaji. Kwa hoja hii akahalalisha kuchukua nyumba za watu.
 
Kama alikuwa na nguvu hizo mbona tunasikia alipenda sana Mzee Salim Ahmed Salim awe Rais baada yake, wenzie wakamkataa?
 
Wapo watakaoenda kuaga wakisema wanaaga fisadi. Hii ni mbaya sana. Kama ningekuwa ENL ningesema nikifa nizikwe nchi nitakayofia.
 
Hata Ali Hassan Mwinyi alipojiuzulu haikuwa kwa sababu alihusika na vifo vya mahabusu.
 
Hii taarifa wakina Mbowe na Lissu wanayo ?

Kama wanayo wanatakiwa kumsafisha haraka iwezekanavyo.
 
Baba wa taifa ni cheo gani kikatiba?
😅😅🤣🤣
Katiba ikienda kinyume na maagizo ya Baba wa Taifa.. Baba wa Taifa hufuatwa 🤣🤣🤣

Sasa sijajua ulichosema mantiki yake ni nini?

Maana Naibu waziri Mkuu haipo kwenye katiba ila Baba wa Taifa aliianzisha na Sasa voolaaa ipo kwenye system ila haipo kwenye katiba 🤣
 
We unajulikana ni dokta wa upumbavu. Upuuzwe
 
Alikuwa mwizi au Tajiri kuna vitu huwa hamvielewi..
acha kujitoa akili na hizi diversion tactics, unaleta mbanga za waisrael ukipinga uhalifu wao, wanakulabel antisemite. Hakuna mtu mwenye shida na utajili wake, bali wizi wa mali za umma na wakihojiwa, madalali wanufaika wa michongo yao kama wewe, mnatetea kuwa watu wanachuki na matajiri. Yule chenge watu wakihoji wizi wake, ndio inakua wanamchukia kisa yeye tajiri. Mtu anayemtetea fisadi kama wewe mnapaswa kuchukiwa na kuadhibiwa vikali.
 
We unajulikana ni dokta wa upumbavu. Upuuzwe
Ok sawa haina Tatizo mkuu lakini Tujikite kwenye Hoja Nafikiri Tutawza kujua nani mpumbavu nani mwerevu..
Kwani kuna sehemu mimi Nimemtukana mtu au kuvunjia heshima Mtu kilichoandikwa hakikutokea?

Hivi mbona kila kitu tunajifanya tunajua wakati tunaujinga mwingi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…